Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio gari ni 🔥🔥, huyu naye kaangusha this monstrosity
RSQ8
Screenshot_20230206-085340.png
 
Hiyo ilikuwa data ya mwaka mmoja, 2017, ila sio ya all time. Huo mwaka Dar majengo mengi marefu yalimalizika kama TPA ndio maana mkawa mbele yetu. Ukiangalia miaka mingine utapata Nairobi iko juu na mbali. Kwa mfano last year Nairo ilikamilisha GTC, hivi bado unadhani Dar iliishinda?
Lete takwimu mpya kama unazo.
 
Road moja kuwa busy haimaanishi wingi wa gari za hiyo nchi inategemea na umuhimu wa hiyo road na kukosekana njia nyingine mbadala, sisi tuna road nyingi tofauti tofauti za kuingia na kutoka na zote zipo busy.
New bagamoyo Road yanapita magari 50K kwa siku iyo ni taarifa ya Tanroad,unajua sio kwamba hayo ni magari machache ila ukilinganisha na majirani wametuzidi, sijui mnapata kigugumizi cha nn kukubali tu tuendelee na agenda zingine

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom