Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo anajulikama drug dealer joho au nadanganya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu ambae ameitafuna mombasa kisawasawa naskia anamiliki mpaka bandari sasa baadhi ya bearth ni zake yeye na kaka yake abuu joho
Si wewe jus the other day umepost gari za mtapeli wa tz hapa, wacha ukondoo bana[emoji23][emoji23]
 
Si wewe jus the other day umepost gari za mtapeli wa tz hapa, wacha ukondoo bana[emoji23][emoji23]
Kaaah sasa nisiseme ukweli kua ni drug dealer na ndio alioimaliza mombasa 😆😆 biashara zote za mombasa anazichezea yeye na kaka yake abuu joho ndio wanajiita wafalme wa mombasa
 
Image


Image
 
Back
Top Bottom