Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpumbavu huyu, utakuta Wakunya wanaanzisha battle ya Mombasa na Dar alafu huyu mpumbavu anachangia as if kuna ulinganifu kweli, hivi battle kama hiyo ni ya kuchangia kweli? Mombasa haiiwezi hata Zanzibar but huyu mjinga utakuta anashindana na Wakenya eti kuhusu Mombasa, anajifanya hajui lengo la wakundustan.
Vipi nanyi mnaanzisha ya Dodoma na Nairobi na mnaona ni sawa?
 
Vipi nanyi mnaanzisha ya Dodoma na Nairobi na mnaona ni sawa?
Huwa tunasema Dodoma ni mji wa kisasa zaidi kuliko Dar na Nairobi, hiyo miwili ni ya kizamani, over 80% ni unplanned but Dodoma imekuwa planned from the scratch huwezi kufananisha na hizo takataka mbili za mkoloni.
 
Upperhill Nairobi is slowly becoming the high-rise Capital of Africa
88 enters cladding
52670437631_844e1ba4ac_b.jpg

Another 30+ tower Altura now on 10 floor

52670723379_f7d9507ef1_b.jpg
52670934168_b33ddcb858_b.jpg
 
Mpumbavu huyu, utakuta Wakunya wanaanzisha battle ya Mombasa na Dar alafu huyu mpumbavu anachangia as if kuna ulinganifu kweli, hivi battle kama hiyo ni ya kuchangia kweli? Mombasa haiiwezi hata Zanzibar but huyu mjinga utakuta anashindana na Wakenya eti kuhusu Mombasa, anajifanya hajui lengo la wakundustan.
Wewe shida yako ni kwamba haupatani na ukweli ni hilo tu,Alafu unaniita mpumbavu?mpumbavu ni mtu mwenye tabia kama za kwako
Screenshot_20230205-202136_Chrome.jpg

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Magari Nairobi ni mengi kuliko dar, issue ya udogi wa eneo hapo haihusiki

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Dar is a big city people nowadays do not need to come to the city centre kila mahali siku hizi kuna town centres ambazo hupata mahitaji yako yote hence magari kuwa machache katikati ya mji.

Pia Dar is more livelier in the suburbs watu wengi huwa huko.
 
Magari Nairobi ni mengi kuliko dar, issue ya udogi wa eneo hapo haihusiki

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Udogo wa eneo lazima uhusike kwann usihusike nairobi ni ndogo mara tatu kwa dar so hapo utasemaje udogo wa eneo haungaliwi? Inside 690km sq kuna mapori na national park ya nairobi je dar kuna mapori?? 🤣🤣🤣
 
Udogo wa eneo lazima uhusike kwann usihusike nairobi ni ndogo mara tatu kwa dar so hapo utasemaje udogo wa eneo haungaliwi? Inside 690km sq kuna mapori na national park ya nairobi je dar kuna mapori??
Sasa thibitisha Dar kuna magari mengi
Unajua linapokuja suala la uhalisia wa mambo mnakua na vigugumizi sana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom