Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

20230203_085631.jpg
20230203_090326.jpg
20230203_085947.jpg
20230203_090337.jpg
20230203_090348.jpg
20230203_090025.jpg
20230203_085916.jpg
20230203_090041.jpg
20230203_090126.jpg
 
Mfugale alisema ya akadiriwa magari 65K yanapita morogoro road kwa siku wakati wanafungua mfugale interchange, na hio ndio busiest road in Tanzania ,sasa Nyang'au waseme wenyewe busiest road in Nairobi inapitisha gari ngapi kwa siku utashangaa hapa ..nilisoma mahali ni zaidi ya gari laki moja nanusu (Thika highway)

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Thika ndio njia pekee ya kutoka na kuingia Nairobi, Dar ina njia zaidi ya 1 zinazotoka na kuingia Dar
 
Dummy jeshi lenu lipo drc kwa miaka bila mafanikio yeyote to write about. Kdf imekua drc miezi miwili pekee na mafanikio yanaonekana bila hata kufyatua risasi. Kama hungekua mjinga ungeweza kutambua jeshi ovyo hapo
Akili yako ni ndogo sana,jeshi la Tz lilishawahi kufanya mission na likafanikiwa,
Waliopo ni wale walio chini ya UN pekee tena wamechanganyika kutoka nchi tofauti tofauti
 
Mfugale alisema ya akadiriwa magari 65K yanapita morogoro road kwa siku wakati wanafungua mfugale interchange, na hio ndio busiest road in Tanzania ,sasa Nyang'au waseme wenyewe busiest road in Nairobi inapitisha gari ngapi kwa siku utashangaa hapa ..nilisoma mahali ni zaidi ya gari laki moja nanusu (Thika highway)

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
kweli kazi unayo,

Sasa kama mtu anakaa mbagala au tegeta ama gongo la mboto apitie morogoro road kufanya nini
 
Back
Top Bottom