Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahyo magari 65K-75K Ndio mengi sana?na ufinyu wa barabara nao unachangia kuanzia Kibaha kwenda hadi chalinze barabara ishakua nyembamba ndio inayoleta foleni

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hio idadi umeitoa wapi 😆😆😆 mm mbona sikuelewi mm labda nikushauri fanya utembee ujionee achana na stori za kahawa
 
Fn9Sw3oXkAAs98s
 
tuusan skia nikuelekeze, binafsi naijua Dar kila chocho wachana na hizi chocho za mjini .. hadi chocho za mitaa ya mbali huko mbande, pugu, chanika, bunju, kivule matembere mawili, kisemvule, mbagala mgeni nani huko hauniambii kitu, chanika mwisho+ Moshi baa and guess what mpaka kwenye hizo kunakuwaga na foleni.. na nakwambia hiv Dar Iko na namba kubwa ya magari kuliko mji wowote EA
 
What's the AADT for the busiest road in Dar es Salaam?
 
Kwahyo magari 65K-75K Ndio mengi sana?na ufinyu wa barabara nao unachangia kuanzia Kibaha kwenda hadi chalinze barabara ishakua nyembamba ndio inayoleta foleni

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wacha upuuzi barabara zote kubwa DSM zinakuwaga foleni kubwa hadi kongowe uko.. hutembei, huijui Dar kaa kwakutulia.. by the way naishi Sinza, na Sinza pia kunakuwaga na foleni hadi barabara ya Tandale kulekea magomeni kanisani inakua na foleni
 
Sasa kwann unapinga facts nazokupa mm na haziitaji ramli kupiga hesabu au ww kila comparison unayoikuta google unaondoka nayo hata kama ni fake au inatumika kwenye vita vya kiuchumi
Mfugale alisema ya akadiriwa magari 65K yanapita morogoro road kwa siku wakati wanafungua mfugale interchange, na hio ndio busiest road in Tanzania ,sasa Nyang'au waseme wenyewe busiest road in Nairobi inapitisha gari ngapi kwa siku utashangaa hapa ..nilisoma mahali ni zaidi ya gari laki moja nanusu (Thika highway)

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mfugale alisema ya akadiriwa magari 65K yanapita morogoro road kwa siku wakati wanafungua mfugale interchange, na hio ndio busiest road in Tanzania ,sasa Nyang'au waseme wenyewe busiest road in Nairobi inapitisha gari ngapi kwa siku utashangaa hapa ..nilisoma mahali ni zaidi ya gari laki moja nanusu (Thika highway)

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kama hiyo ndio busiest road Dar basi hamna kitu. Kenya, Thika road ndio busiest na yanapita 500k vehicles daily. Ikumbukwe Thika road haijaichia Mombasa road mbali na Mombasa road haijaichia Waiyaki way mbali.
 
Wakat anasema ilikua mwaka gani na leo tuko mwaka gani au unafkiri hzi registration za magari mpaka zimefika EB na sasa tunaelekea EC very soon ni matoroli au??? Na hata nyerere road ni barabara iko busy sana even nelson mandela iko busy muda wote
 
Eti 500k a day ntakunya hapa mpaka ubungo 🤣🤣🤣 thika inapitisha gari kwenye 100k sawa na morogoro road ambayo pia ni about 100k kwa sasa unataka kutudanganya humu ndani
 
Wakat anasema ilikua mwaka gani na leo tuko mwaka gani au unafkiri hzi registration za magari mpaka zimefika EB na sasa tunaelekea EC very soon ni matoroli au??? Na hata nyerere road ni barabara iko busy sana even nelson mandela iko busy muda wote
2021 sindio interchange imefunguliwa.

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Wakat anasema ilikua mwaka gani na leo tuko mwaka gani au unafkiri hzi registration za magari mpaka zimefika EB na sasa tunaelekea EC very soon ni matoroli au??? Na hata nyerere road ni barabara iko busy sana even nelson mandela iko busy muda wote
2021 sindio interchange imefunguliwa.

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kama hiyo ndio busiest road Dar basi hamna kitu. Kenya, Thika road ndio busiest na yanapita 500k vehicles daily. Ikumbukwe Thika road haijaichia Mombasa road mbali na Mombasa road haijaichia Waiyaki way mbali.
Thibitisha iyo idadi 500K imekua Jozi-Pretoria highway?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
2021 sindio interchange imefunguliwa.

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Unajua tofautisha magari yanayopita ubungo interchange na morogoro road pale walizungumzia magari yanayopita ubungo interchange ambayo ni around 75k lakini haina maana kua ndio magari yote yanayopita morogoro road kwanza hapo tuelewane 🤣🤣🤣
 
Kama hiyo ndio busiest road Dar basi hamna kitu. Kenya, Thika road ndio busiest na yanapita 500k vehicles daily. Ikumbukwe Thika road haijaichia Mombasa road mbali na Mombasa road haijaichia Waiyaki way mbali.
Dar Iko na barabara 6 kubwa kutokea CBD and the're all busy .. na kati ya hizo barabara 2 kwa sasa ni six lanes Morogoro+Kilwa road.. barabara yenye foleni zaidi ni barabara ya Mandela road na pugu road
 
Unajua tofautisha magari yanayopita ubungo interchange na morogoro road pale walizungumzia magari yanayopita ubungo interchange ambayo ni around 75k lakini haina maana kua ndio magari yote yanayopita morogoro road kwanza hapo tuelewane
Leta takwimu zako kijana mimi nmeleta za Mfugale mwenyewe wewe kama unazako ziweke hapa

Back
Top Bottom