ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Uheheh nimekupa somo dogo tu hapa unaanza kunambia nafanya mzaha 🤣🤣Facts sindio hamzitaki nyie au unazungumzia facts gani apa
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Uheheh nimekupa somo dogo tu hapa unaanza kunambia nafanya mzaha 🤣🤣Facts sindio hamzitaki nyie au unazungumzia facts gani apa
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
🤣🤣 Kwahyo umeona ujiongopee mwenyewe sindio.?
Tulishafanya permutations hapa kuhakikisha kuwa Kenya yote haina magari mengi kuliko TanzaniaMagari Nairobi ni mengi kuliko dar, issue ya udogi wa eneo hapo haihusiki
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Siku nyingine fanya kuzoom ujifunze 🤣🤣 hebu tuoneshe pori hapo
Bro musipoteze muda wenu bora tuongee mengine yamsingi humu hio mada ilijadiliwa sana humu na ushahidi ukapatikana na ukweli ukajulikana naomba tuachane naeTulishafanya permutations hapa kuhakikisha kuwa Kenya yote haina magari mengi kuliko Tanzania
Ukidrive kutoka mjini hadi Moro ukitoa mabasi na malori private cars sio nyingi baada ya kufika kibaha kuendelea...ukifika Morogoro penyewe ndio utagundua gari ni chache sana nje ya Dar...Nashuku magari mengi ya Tz yako Dar...Bahati nzuri hua nasafiri sana mikoani kwahyo nnauhakika na nnalosemaTulishafanya permutations hapa kuhakikisha kuwa Kenya yote haina magari mengi kuliko Tanzania
Tuusa anasumbuliwa na kasumba za kibongo kuto kubali vyakwaoBro musipoteze muda wenu bora tuongee mengine yamsingi humu hio mada ilijadiliwa sana humu na ushahidi ukapatikana na ukweli ukajulikana naomba tuachane nae
Tazama size ya nairobi national park na mapori ni robo tatu ya eneo zima la nairobi 🤣🤣🤣🤣 duni ya leo nani utamdanganya
Kuna wabongo wanajisikia vizuri wanapojidharau.Tuusa anasumbuliwa na kasumba za kibongo kuto kubali vyakwao
Sasa kwa taarifa yako hakuna njia ina magari mengi kama dar to dom asikudanganye yoyote mm juzi tu nimetoka mwanza kuja dar nimeona adha ya foleni na magari yalivo mengi ww hujiulizi kwann inakuchukia masaa matano kutoka dar to moro na ni 194km na inakuchukua another 6 to 7 hours from moro to dom wakat ni 240km sisi tumetembea na tumejionea mzee🤣Ukidrive kutoka mjini hadi Moro ukitoa mabasi na malori private cars sio nyingi baada ya kufika kibaha kuendelea...ukifika Morogoro penyewe ndio utagundua gari ni chache sana nje ya Dar...Nashuku magari mengi ya Tz yako Dar...Bahati nzuri hua nasafiri sana mikoani kwahyo nnauhakika na nnalosema
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sio hivyo kijanaTuusa anasumbuliwa na kasumba za kibongo kuto kubali vyakwao
Hata morogoro region ni kubwa kuliko county yoyote kenya 🤣🤣🤣 so?Naona mwengine anazoom section different na zenye nimepost. Narudia, 621 sq. km of Dar ni ushagoo.
View attachment 2507671
Meanwhile, Nairobi built up area imeexpand outside Nairobi County. Ruiru municipality pekee ni kubwa kushinda miji yote Tz ukitoa Dar.
Sasa kwann unapinga facts nazokupa mm na haziitaji ramli kupiga hesabu 🤣🤣 au ww kila comparison unayoikuta google unaondoka nayo hata kama ni fake au inatumika kwenye vita vya kiuchumiSio hivyo kijana
Mfano kuna issue ya real estate kwamba Dar inazidi Nairobi umewahi kuona nimepinga?mimi sipingi takwimu hua sipatanani na mambo ya kuchovyachovya
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hata sielewi logic yako hapa, sasa watu wanaishi Dar, iweje wapeleke magari yao Morogoro, bila sababu?Ukidrive kutoka mjini hadi Moro ukitoa mabasi na malori private cars sio nyingi baada ya kufika kibaha kuendelea...
Kama kweli Tanzania ina magari machache kuliko Kenya tusingekuwa na plate number zenye herufi na namba sawa. Ukiangalia plate number za south Africa na kuhesabu idadi ya herufi pamoja na namba utaelewa ninachokiongelea.ukifika Morogoro penyewe ndio utagundua gari ni chache sana nje ya Dar...Nashuku magari mengi ya Tz yako Dar...Bahati nzuri hua nasafiri sana mikoani kwahyo nnauhakika na nnalosema
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nilichogundua ni kwamba wewe ni mpuuzi mmoja mwenye kasumba.. haya bishana na picha pia 👇Ukidrive kutoka mjini hadi Moro ukitoa mabasi na malori private cars sio nyingi baada ya kufika kibaha kuendelea...ukifika Morogoro penyewe ndio utagundua gari ni chache sana nje ya Dar...Nashuku magari mengi ya Tz yako Dar...Bahati nzuri hua nasafiri sana mikoani kwahyo nnauhakika na nnalosema
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hiyo ilikuwa data ya mwaka mmoja, 2017, ila sio ya all time. Huo mwaka Dar majengo mengi marefu yalimalizika kama TPA ndio maana mkawa mbele yetu. Ukiangalia miaka mingine utapata Nairobi iko juu na mbali. Kwa mfano last year Nairo ilikamilisha GTC, hivi bado unadhani Dar iliishinda?Sio hivyo kijana
Mfano kuna issue ya real estate kwamba Dar inazidi Nairobi umewahi kuona nimepinga?mimi sipingi takwimu hua sipatanani na mambo ya kuchovyachovya
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Yeye akiona traffic jam ndio anajua sehem kuna magari mengi kuna watu wana magari yanakaa nyumbani wanatumia bike kutokana na foleni 😆😆😆 mmoja wapo mm situmii gari kabisa siku za kazi natumia bikeNilichogundua ni kwamba wewe ni mpuuzi mmoja mwenye kasumba.. haya bishana na picha pia 👇View attachment 2507680View attachment 2507681View attachment 2507682View attachment 2507684
Kwahyo magari 65K-75K Ndio mengi sana?na ufinyu wa barabara nao unachangia kuanzia Kibaha kwenda hadi chalinze barabara ishakua nyembamba ndio inayoleta foleniSasa kwa taarifa yako hakuna njia ina magari mengi kama dar to dom asikudanganye yoyote mm juzi tu nimetoka mwanza kuja dar nimeona adha ya foleni na magari yalivo mengi ww hujiulizi kwann inakuchukia masaa matano kutoka dar to moro na ni 194km na inakuchukua another 6 to 7 hours from moro to dom wakat ni 240km sisi tumetembea na tumejionea mzee![]()