Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Kumbe London bado wana hivi vi booth?
Kumbe London bado wana hivi vi booth?
Thika ndio njia pekee ya kutoka na kuingia Nairobi, Dar ina njia zaidi ya 1 zinazotoka na kuingia Dar

watanzania banaHauna hoja kwakua hauna facts za backup claims zako zaidi ya kutaka kuhamasisha watu wakubaliane na unachoamini.Denial haitakusadia kijana
Nimekaa sana hapo makumbusho karibu kabisa na kanisa la KKKT nikahamia Makongo juu, ukiniambia sipafahamu Dar utakua unatafuta maneno tu,
Sasa mnavyonishambulia kwa maneno makali ndio ilo mshinde hoja ?
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nilijua ya kuwa huna data zaidi ya imani unayojenga kwa jajiment ya macho.Ukidrive kutoka mjini hadi Moro ukitoa mabasi na malori private cars sio nyingi baada ya kufika kibaha kuendelea...ukifika Morogoro penyewe ndio utagundua gari ni chache sana nje ya Dar...Nashuku magari mengi ya Tz yako Dar...Bahati nzuri hua nasafiri sana mikoani kwahyo nnauhakika na nnalosema
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Msamehe, nimegundua mwana ana changamoto kubwa ya kielimu.Sasa kwa taarifa yako hakuna njia ina magari mengi kama dar to dom asikudanganye yoyote mm juzi tu nimetoka mwanza kuja dar nimeona adha ya foleni na magari yalivo mengi ww hujiulizi kwann inakuchukia masaa matano kutoka dar to moro na ni 194km na inakuchukua another 6 to 7 hours from moro to dom wakat ni 240km sisi tumetembea na tumejionea mzee🤣
Acha uongo hiyo A7 umeitoa wapi? Dar kuna Morogoro road T1 ambayo ni 10 -16 lanes, Bagamoyo road 6 -8 lanes, Mandela road 6 lanes, Kilwa road 6 lanes.Si ulisema mwenyewe Nairobi tuna barabara moja pekee inayoingia mjini, sasa hizi tatu zimetoka wapi?![]()
![]()
![]()
Wacha nikutoe ujinga kidogo - Nairobi umeweka barabara tatu pekee - Thika Road, Mombasa Road na Waiyaki way amabzo ni class A roads zinazoingia mjini. Dar umeweka vibarbara vyote vinavyoingia mjini hata visivyo na hadhi. Class A road ni moja pekee hapo. Morogoro road. Kwa hivo tukilinganisha apples to apples - Nairobi ni tatu Dar ni moja. Shida yako wewe ni layman kwa haya mambo ya barabara.
Dar - Class A road ni Morogoro pekee (A7)
View attachment 2507741
Nairobi Class a Roads ni Thika Road, Mombasa Road na Waiyaki Way.
Waiyaki Way (A104/A8)
View attachment 2507743
Mombasa Road (A104/A8)
View attachment 2507745
Thika Road (A2)
View attachment 2507747
Haya, sasa soma map kiupooole uelewe ndio upayuke. Usituletee hapa vichorchoro ukidhani ni barabara kubwa.
Nairobi 3 - Dar 1.
Naipori njia ya kuingia na kutoka CBD ni moja tuu nayo ni Mombasa road hiyo thika yenyewe haianzii cbd.watanzania bana
Mombasa Road ndio hiyo hiyo Thika Road 😂😂😂Naipori njia ya kuingia na kutoka CBD ni moja tuu nayo ni Mombasa road hiyo thika yenyewe haianzii cbd.
Aliekwambia ni 250 mwambie akuletee ushahidi nifunge acc sasa hvi 🤣🤣🤣
The same as wakazi wengi wa dar es salaam wanatumia zaidi bike au BRT au commuter rail siku za kazi na magari yao weekendYour wrong many kenyans park their cars at home and use public means, daladala zikistrike Nairobi inakua gridlocked
Kuna mengne yanatokea Samnjuoma na mengine nelson mandelaUnajua tofautisha magari yanayopita ubungo interchange na morogoro road pale walizungumzia magari yanayopita ubungo interchange ambayo ni around 75k lakini haina maana kua ndio magari yote yanayopita morogoro road kwanza hapo tuelewane![]()
Kilwa Road nayo utasemaje?inatoka dar kwenda mikoa ya kusini
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Bibi kizee kapaka lipstick
Acheni upumbabi! Nunueni maliro, jengeni barabara mzuri. Stop this nonsense of delivery one dose of panado via a drone Halafu mnajiona mepiga hatua. Acheni ujinga! Jengeni a real supply chain! Sio katuni hizi!
Do u know it has DART plus 4 lanes for private traffic?BA.
That's a class B road. Check it out. Jifunzeni classes za barabara zenu.
View attachment 2507968
Mbona hao jamaa wako Mwanza kwa miaka mingii?Acheni upumbabi! Nunueni maliro, jengeni barabara mzuri. Stop this nonsense of delivery one dose of panado via a drone Halafu mnajiona mepiga hatua. Acheni ujinga! Jengeni a real supply chain! Sio katuni hizi!
www.voanews.com
Second busiest hapo Dar, Ila ukiileta Nairobi hata top 10 haigusi.Swala la class a sijui b haibadili kwamba ndio second busiest roads na kwamba Ina magari mengi so usiwe zuzu na hizo ranking