The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Watu wamekataaSi waliamua kula ya Gmo baada ya kushidwa haya ya kawaida tunayokula na kulima
Watu wamekataaSi waliamua kula ya Gmo baada ya kushidwa haya ya kawaida tunayokula na kulima
Duh!! Dunia yote inajua hivyo kumbe wewe pekee yako hujui!!! Waulize wakenya wenzako.Eti 60% ya walimu wa Kenya waliajiriwa Tanzania? 😂😂 Where did you get this data from bongolala?
Secondly, how much does the lowest paid teacher earn per month in Tanzania? Use credible evidence to back it up
Ni juzi juzi tu ndiyo tumeacha kuwaajiri baada ya kuona Watz wapo vzr kuliko walimu kutoka Kenya na pia maadili ya Wakenya ni hovyo wanabaka wanafunzi pia wachafu.Eti 60% ya walimu wa Kenya waliajiriwa Tanzania?Where did you get this data from bongolala?
Secondly, how much does the lowest paid teacher earn per month in Tanzania? Use credible evidence to back it up
Haki wewe kichwa aiko sawa sinjui umekosa chakula ama hukuenda choo?
empty rhetoric as always. Mtu unasema kitu ikiulizwa udhibitishe unaanza kelele. Watanzania jamani! 😃Duh!! Dunia yote inajua hivyo kumbe wewe pekee yako hujui!!! Waulize wakenya wenzako.
Next $billionaire is Rostam Aziz from TzTajiri wa Afrika Mashariki
![]()
Tanzania's Mo Dewji emerges as East Africa's only dollar billionaire
Mo’s Mohamed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) Group is active in textile manufacturing, flour milling, beverages and edible oils.nation.africa
I have asked you a very simple question; to prove that you employ 60% of teachers in Kenya. Maneno mengi ya nini?Ni juzi juzi tu ndiyo tumeacha kuwaajiri baada ya kuona Watz wapo vzr kuliko walimu kutoka Kenya na pia maadili ya Wakenya ni hovyo wanabaka wanafunzi pia wachafu.
Tuendelee tusiendelee?
View attachment 2503981
labda wameshika kende in Ichoboy voice 😂Hua wanasema wameshikilia uchumi wetu imekueje tena sauti tafadhali
Mm kuna mjapan nmewahi kumuuliza pale kazini kuhusu China akajibu hivyo hivyo, tena nilimwambia nchi yenu imeendelea kuliko China lkn hampigi kelele wala nn, mjapan akakataa akasema China kwa ss imeendelea kuliko Japan, wenzetu huwa wanasema kweli na huwa wanaachana na mambo ya historia wanasema ukweli.
Tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini au tutumie vijiko kuchukua nyama zilizopo chini?
![]()
Another Tanzania Product in the Shelves. Option zinaongezeka kila siku.
View attachment 2504981
View attachment 2504982
So what?They are not employees of Teachers Service Commission of Kenya, the official employer of all teachers in Kenya. ECDE teachers are employed by county governments