Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,150
- 17,896
Hivi wewe uko na matatizo ya akili au umepagawa?, Hii link uliyoweka Tanzania signs $1.9 bln railway contract with Turkish firm inasema Tanzania imesaini mkataba na Yerpi Markezi ambayo ndiye mkandarasi anayejenga reli yetu, kwahiyo hiyo huyo Contractor ndiye aliyetoa hiyo pesa?.
Kwahiyo hata kile kupande Cha mwisho Cha Mwanza Hadi Isaka ambacho kinajengwa na mkandarasi toka China utasema mkopo umetoka China?, Punguza ujuha wako.
Pesa ya SGR Hadi Sasa imetolewa na AfDB, GoT na Standard Charted Bank, kwengine kote tulikoomba hatujapata.