Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In other News
2022 Economic Summary Data From BOT

Exports of Goods and services 12bil usd

Imports 16.7 bn usd oil accounts 23 percent

Tourism revenue (part of service exports ) 2.56bil USD total no of tourist 1.454million

Transport 1.8bil usd

Debt Total Public and Private -40bil usd

Public debt 32bn usd

External Debt public (GOVT) - 21bil usd

External debt private etc 8bn usd
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG-20230202-WA0010.jpg
 
Ukiona hiv.. ujue hali ni mbaya [emoji1787][emoji1787]
Wengine wako humu wakiimba wimbo wa GDP kubwa, lkn picha zao zengine wanazopost humu zinawaumbua.. mara apost sinia chafu la nyamba za mbwa.. mwingine apost magar kukuu ya '5 yrs ago'..barabara ndo hivyo hazielewek.. BRT imestack..yan ovyo ovyo hakuna muelekeo

Hamna uchumi hapo mkuu labda GDP tuu ya karatasi.
 
Kama nchi yako haiko kwenye hii list basi uchumi wenu ni mkubwa na uko resilient.

Screenshot_20230203-001741_Opera.jpg
 
Ku request sio kupewa hvi ww mbona mgumu kuelewa 🤣🤣🤣 hata china tuli request lakini hatukuchukua mbona kitokana na masharti yao na hakuna ushahidi utapata tanzania imesaini kuchukua mkopo turkey never ever
Eti hakuna ushahidi Tanzania imesaini kuchukuwa loan Uturuki? 😂😂

Niliambia mwenzako kwamba mtazunguka kwote na vijimaneno but the truth shall set you free eventually

And if that's not enough for you, here is a video taken during the official signing ceremony attended by your President
 
🤣🤣🤣🤣🤣 1.9b for phase two ilitoka standard chartered 1.4b na serekali ikatoa 0.5b na ushahidi upo wa utiaji saini mkataba
Hivi, hujui hata yanayoendelea ndani ya nchi yako yet you make a lot of noise objecting everything!!

Loan mliyopewa na waturuki ni kwa ajili ya phase three between Makutopora and Tabora, not phase two as you say. The deal was signed in October 2021

Yani inatumia nguvu nyingi kupinga ukweli wakati hakuna unachojua
 
Hivi wewe una matatizo ya akili?, Yarpi Markezi ni Contractor, wapi umeona "signing ceremony" ya kupokea pesa toka Turkey?, Wewe ni kichaa haupo sawa kichwani mwako.
 
Eti hakuna ushahidi Tanzania imesaini kuchukuwa loan Uturuki? [emoji23][emoji23]

Niliambia mwenzako kwamba mtazunguka kwote na vijimaneno but the truth shall set you free eventually

And if that's not enough for you, here is a video taken during the official signing ceremony attended by your President
Haki wewe kichwa aiko sawa sinjui umekosa chakula ama hukuenda choo?
 
Ukiona hiv.. ujue hali ni mbaya 🤣🤣
Wengine wako humu wakiimba wimbo wa GDP kubwa, lkn picha zao zengine wanazopost humu zinawaumbua.. mara apost sinia chafu la nyamba za mbwa.. mwingine apost magar kukuu ya '5 yrs ago'..barabara ndo hivyo hazielewek.. BRT imestack..yan ovyo ovyo hakuna muelekeo

Na Si mnafuata habari za Kenya msee.. habari nyingi ya Kenya huwa napata kwenu
 
Back
Top Bottom