Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa-Naivasha and soon MOMBASA - KAMPALA SGR is/will be the only double-stacked SGR in Africa
nJZJX5f.jpg

W4omSzx.png

Locals are taking over critical operations such as maintenance and control

sDJzzlD.jpg

1TosQiP.jpg

LgsYgsk.jpg
Suswa hamuwezi toka leo, uwezo wenu mdogo kifedha.
 
Naona media za Tanzania ndo zimejua leo[emoji3]
Media za kibongo ni za kipumbavu sn wamekaa kuongelea habari za umbea umbea mara mwijaku sijui baba levo, yn ni upuuzi 24/7 habari nyingi za maana kuhusu Tz wanazipata JF just imagine, mambo kibao kuhusu uzuri na sifa za Tz hawachapishi ila wao ni umbea tu.
 
Wanapenda umbea tu content za maana wanaziavoid

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hapa Sudan tunamtafuna asubuhi kweupee tunabaki na hao watabe watatu juu huko nao pia wajiangalie mana me nachojua mgumu hapo ni Mmisri tu hawa wengine ni just matter of time tu, ligi yetu tamu kwa ss pia ina hela thus y best players wa East and Central Africa ndoto zao kucheza Tz na ndio ulaya yao kwa sasa.
IMG_20230202_182457.jpg
 
Hizi Ivy league schools, huwa ni sehemu ya kupata connections. Pia kama mazazi au wazazi wa wazazi wako waliwahi kusoma huko, hicho ni moja ya kigezo cha kuchaguliwa.
Sio lazima, mini baba na mama yangu hawajasomea Ivy league university yeyote.

Lakini mimi nimesoma Ivy league (Cornell) kwa masomo ya graduate degrees (master na Ph.D.)

Kitu cha kwanza ni
1) kupata admission
2) cha pili uwezo wako mzuti wa akili.
3) cha tatu ni uwezo wa kulipia Programs.

Kila kitu kinawezekana ni kuongeza jitihada na kukubali kuhakikisha unatafuta majibu kwa kila tatizo lako.
 
Acha ujuaji wa kishamba wewe hiyo profit ni ya KBC Group which combines KCB bank, national bank and other non banking businesses.
So kumaanisha National bank do not announce their financial results independently ama what exactly are you insinuating?
 
Suswa hamuwezi toka leo, uwezo wenu mdogo kifedha.
Ukiona hiv.. ujue hali ni mbaya 🤣🤣
Wengine wako humu wakiimba wimbo wa GDP kubwa, lkn picha zao zengine wanazopost humu zinawaumbua.. mara apost sinia chafu la nyamba za mbwa.. mwingine apost magar kukuu ya '5 yrs ago'..barabara ndo hivyo hazielewek.. BRT imestack..yan ovyo ovyo hakuna muelekeo

Ukiona hiv.. ujue hali ni mbaya [emoji1787][emoji1787]
Wengine wako humu wakiimba wimbo wa GDP kubwa, lkn picha zao zengine wanazopost humu zinawaumbua.. mara apost sinia chafu la nyamba za mbwa.. mwingine apost magar kukuu ya '5 yrs ago'..barabara ndo hivyo hazielewek.. BRT imestack..yan ovyo ovyo hakuna muelekeo

So angepost sinia nzuri ungeamini he aint struggling ama?
 
But as always, you'll deny everything therein
Ku request sio kupewa hvi ww mbona mgumu kuelewa 🤣🤣🤣 hata china tuli request lakini hatukuchukua mbona kitokana na masharti yao na hakuna ushahidi utapata tanzania imesaini kuchukua mkopo turkey never ever
 
Back
Top Bottom