Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini au tutumie vijiko kuchukua nyama zilizopo chini?

index.php
 
Tunasonga mbele
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kampuni ya Utengenezaji wa Mabehewa ya Sung Shin Rolling Stock Technology (SSRT) ya Nchini Korea Bw. Gye Shul Park aliyeambatana na Ujumbe wake uliofika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 02 Febuari, 2023. Rais wa Kampuni hiyo ameonesha nia ya kujenga Kiwanda cha kuunga Mabehewa hapa nchini, ambayo itaweza kuleta ajira kwa Watanzania, kuongeza Pato la Taifa na pia kuzinufaisha nchi jirani.

b4bc328c-d72e-441d-a6fb-04d1ad6475e9.jpg

View attachment 2503643

Mama anachapa kazi [emoji4]
 
Tofautisha kati ya KCB group and KCB Bank Kenya Limited which is a subsidiary of KCB group. What you have posted is a profit made by KCB Group not a KCB Bank View attachment 2503542View attachment 2503543
KCB Bank is a 100% subsidiary of KCB Group Plc. In other words, KCB Group Plc is KCB Bank. Wacha kutafuta pa kutafuta pa kutorokea, leta benki yenu hata moja inayokaribia faida ya KCB Bank
 
Tatizo lako una hasira sn na Tz plus wivu thus y huwezi hata kutaja jina halisi la Tz, kipi kinakufanya usijue kuwa kwa ss hili linchi likubwa linaitwa Tz? Punguza wivu wa kike msee Ojwang.
Tanganyika na Tanzania zote sawa, liinch la ufukara kuzidi zote ukanda huu
 
Leta evidence kuwa tumetembeza bakuli uturuki. Standard chartered wao walivutiwa na our financing model na potential ya sgr yetu walikuja wenyewe hatukuwaita.

But as always, you'll deny everything therein
 
KCB Bank is a 100% subsidiary of KCB Group Plc. In other words, KCB Group Plc is KCB Bank. Wacha kutafuta pa kutafuta pa kutorokea, leta benki yenu hata moja inayokaribia faida ya KCB Bank
Acha ujinga reason kama umeenda shule. Unataka kusema na National Bank pia ni KCB bank?
 
Alafu nmeona katika kipengele cha soko la wahitimu katika chuo husika,hao hua na uhakika wa 100% kuajiriwa tena kwenye mashirika makubwa na serikali zao

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hizi Ivy league schools, huwa ni sehemu ya kupata connections. Pia kama mzazi au wazazi wa wazazi wako waliwahi kusoma huko, hicho ni moja ya kigezo cha kuchaguliwa.
 
But as always, you'll deny everything therein
Hivi wewe uko na matatizo ya akili au umepagawa?, Hii link uliyoweka Tanzania signs $1.9 bln railway contract with Turkish firm inasema Tanzania imesaini mkataba na Yerpi Markezi ambayo ndiye mkandarasi anayejenga reli yetu, kwahiyo hiyo huyo Contractor ndiye aliyetoa hiyo pesa?.

Kwahiyo hata kile kipande Cha mwisho Cha Mwanza Hadi Isaka ambacho kinajengwa na mkandarasi toka China utasema mkopo umetoka China?, Punguza ujuha wako.

Pesa ya SGR Hadi Sasa imetolewa na AfDB, GoT na Standard Charted Bank, kwengine kote tulikoomba hatujapata.
 
Marekani mwenyewe amekiri ya kuwa China is a serious competitor. Juzi juzi hapa Marekani na ulaya walikuwa wakijadili pamoja na nchi zingine tajiri, wakisema wanatambua sana ukuaji wa uchumi wa China kwa maendeleo ya dunia. Dunia nzima imenufaika sana katika nyanja mbalimbali kutokana na maendeleo ya China.
CC: tuusan
Mimi sio Mpinzani wa China nisieleweke ndivyo sivyo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
KCB Bank is a 100% subsidiary of KCB Group Plc. In other words, KCB Group Plc is KCB Bank. Wacha kutafuta pa kutafuta pa kutorokea, leta benki yenu hata moja inayokaribia faida ya KCB Bank

Kwa logic hiyo ya KCB Group Plc ni KCB Bank, then KCB group ni National Bank of Kenya au ni KCB Bancassurance. That being said, National Bank & KCB Bancassurance can all claim the profit to be theirs.
 
National bank has its own accounting books and publishes their own results every year
 
Back
Top Bottom