The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Matapeli 😁😁😁
Ongeza pia Immobile sgr ambayo mdanganyika raia wa kawaida hajawahi panda wala faidikaNitake radhi bwana usitaje hovyo neno SGR bila kutanguliza neno electric eco friendly hayo maneno huleta heshima kwa neno sgr.
Eti hakuna ushahidi Tanzania imesaini kuchukuwa loan Uturuki? 😂😂
Niliambia mwenzako kwamba mtazunguka kwote na vijimaneno but the truth shall set you free eventually
![]()
Tanzania signs $1.9 bln railway contract with Turkish firm
Tanzania on Tuesday signed a contract with Turkish firm Yapi Merkezi to build a 368 km section of standard gauge railway that is expected to cost $1.9 billion and will be funded by loans.www.reuters.com
![]()
Tanzania signs $1.9 bln railway contract with Turkish firm
President Suluhu Hassan said Tanzania would borrow to finance the project.www.the-star.co.ke
And if that's not enough for you, here is a video taken during the official signing ceremony attended by your President
Yani nimecheka sana tena na mbaya zaidi anamuona kabisa mkurugenzi wa TRC na yapi markezi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi wewe una matatizo ya akili?, Yarpi Markezi ni Contractor, wapi umeona "signing ceremony" ya kupokea pesa toka Turkey?, Wewe ni kichaa haupo sawa kichwani mwako.
Ww kapimwe mkojo yawezwkana ukawa na UTI sugu 🤣🤣🤣🤣🤣 unatuomesha video ya utiaji saini kati ya TRC na yapi markezi au ww hujui kua yapi markezi tumemuajiri ajenge reli???Hivi, hujui hata yanayoendelea ndani ya nchi yako yet you make a lot of noise objecting everything!!
Loan mliyopewa na waturuki ni kwa ajili ya phase three between Makutopora and Tabora, not phase two as you say. The deal was signed in October 2021
![]()
Tanzania Sign USD 1.9B Contract to Build 3rd Phase of SGR Railway
Tanzania signed the agreement for the construction of the third phase of the Standard Gauge Railway (SGR) connecting Makutupora to Tabora.www.tanzaniainvest.com
Yani inatumia nguvu nyingi kupinga ukweli wakati hakuna unachojua
Hebu niambie ukweli kwan hupendi kuona tanzania ikifanya makubwa 🤣🤣🤣 hvi niambie ww kuna bank gani kenya ni mshindani wa KCB ukipata let me know au kuna mtandao gani kenya ni mshindani wa safaricomYou sure you want to go here? 🤣🤣🤣 Yani zote combined mnapelekwa teke teke na bank moja Kenya 🤣
Ndio maana nikaweka hapa kwa makusudi kabisa. Sisi tunaojua uchumi tunaelewa hicho tulichoweka kimewagonga wakenya next year mtajua hamjuiYou sure you want to go here? 🤣🤣🤣 Yani zote combined mnapelekwa teke teke na bank moja Kenya 🤣
KCB Kenya Limited profit yake ni Ksh 19b.You sure you want to go here? 🤣🤣🤣 Yani zote combined mnapelekwa teke teke na bank moja Kenya 🤣
I hope wataweka shades.
Ndio wataweka coz wanataka kuzungusha maduka piaI hope wataweka shades.
Seaview Road and Tanzanite bridge.
Gym ya watu wengi wanaofanya kazi maeneo haya na Karibu
Miezi kadhaa kabla mkulungwa flani hajaondoka nilikua napiga tizi na 20K kila siku kwa nusu saa kwenye mtaa huu
View attachment 2504158
View attachment 2504159
View attachment 2504160
Safi sana mkuu. 😎
Dah hii hatari sana kwa elimu ya nchi. Kumbe walmu wetu huku wana enjoy sana kimaslahi.Kima cha chini cha mishahara ya walimu wa serikali kunyaland ni 140k
Ndio maana wanakimbilia Tanzania aisee
Equity is making almost the same in profits as KCBHebu niambie ukweli kwan hupendi kuona tanzania ikifanya makubwa 🤣🤣🤣 hvi niambie ww kuna bank gani kenya ni mshindani wa KCB ukipata let me know au kuna mtandao gani kenya ni mshindani wa safaricom
Kima cha chini cha mishahara ya walimu wa serikali kunyaland ni 140k 😂😂😂😂
Ndio maana wanakimbilia Tanzania aisee
🤣🤣🤣🤣 kichaa wa mwaka weweEquity is making almost the same in profits as KCB