Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa mfano, Second richest county according to that Wikipedia page ni Nakuru. Ina GDP ya USD 10M. Meanwhile population yake ni 2.1M. GDP per capita inakuja 4760 USD.
Second richest region in Tanzania ni Mwanza. Ina GDP ya USD 16M na population ya 3.7M. GDP per capita itakuwa 4324.
Clearly Nakuru ipo juu na ikumbukwe ukiangalia kwa hizo page mbili, data ya Tanzania ni ya 2019 wakati ya Kenya ni ya 2018. Ukiupdate ya Kenya ndio tunawapiga zaidi.
Mbona hueleweki, ikija upande wa kuzidiwa GDP unajitetea lkn hapo hapo unasema ni takwimu za zamani, wallahi nyie ni misukule kweli kweli.
 
Nairobi. Such towers are being completed on daily basis. 18-23 floor towers mostly
View attachment 2505294View attachment 2505295
See how many green nets in Eastleigh
View attachment 2505299
Ndiyo mnaanza leo kuijenga Kariakoo yenu wakati cc kwetu hakuna nafasi maghorofa yamejaa kariakoo nzima.
tapatalk_-1443801747_678x353.jpg
 
Hiyo sio miji, hiyo ni regions vs counties. Regions zenu ni kubwa kushinda counties zetu, what do you expect? Mko na 23 regions na population ya over 61m, hiyo ni average ya 2.7M people per region. Tuna counties 47 na population ya 50M. Hiyo ni about 1.06M people per county on average. Kumaanisha region yenu imeshinda county yetu na karibu 2.7 times alafu bado unazilinganisha moja kwa moja. Huwa mnashindwa kufikiria sana ninyi wabongo.
Aisee...kumbe mko wengi hivyo?

Yaan kenya mnatukaribia kwa population? Mko 50m?
 
Back
Top Bottom