Weka profit za KCB bank hapa acha kurukaruka kama corn kwenye kikaango.Relax kijana, huenda umechanganyikiwa. Those figures are in KSH, sio ile hela yenu ya madafu. KCB made KSH 30.6 billion in the third quarter of 2022. Hiyo ni sawa na TSH 612 billion hela za madafu. Tuambie ni benki gani hapo kwenu hutengeneza faida kiasi hicho hata ndani ya mwaka mmoja


gari ya mwaka 1966
