Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TOKYO, JAPAN. A city with the biggest GDP, most populated, and largest on earth.
"na inatoshea kwa picha moja 🤣 🤣 "
326811836_913970459612123_7040477760898797758_n.jpg
I see what you've done there. 🤣 🤣
 
Tatizo lako unadhani technology ni HUAWEI pekee. Technology ni pana mno.
Mimi siongei maneno matupu naongea kwa vitendo.
View attachment 2502714
Sasa hapo umeandika nini[emoji1][emoji1] hizo namba zinamaanisha nini

Niambie China ina technologia gani kubwa kuizidi USA leo nafuta na jf kabisa [emoji1]

Hili swali ungeniuliza mimi ningekujibu kua marekani ipo mbele kwenye Technologia ya microchips

Wewe niambie directly kwamba China ipo mbele ya USA kwa Technologia maybe ya ujenzi na magnetic train [emoji1][emoji1] nije nikupe somo

Narudia tena China haijawahi kua na technologia ya maaana labda leo unipe somo wewe
 
Sasa mzee huju?
1. Space station
2. The world’s first quantum communication satellite

Sitaki kuongelea 5G
Japo kuwa ulikuwa unataka kuongelea ulaya pekee
 
Wewe leta hapa data zinaongea wapi ni destination nzuri kwa watalii[emoji3]

Hakuna sehemu penye vibu kubwa kuliko Europe by 100000%

Europe ni habari nyingine kijana

Santorini Greece kama hauna pesa huwezi elewa [emoji3][emoji3] View attachment 2502668
Kupata vichekesho kama hivi [emoji3516][emoji3516] tunabonyeza wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa hapo umeandika nini[emoji1][emoji1] hizo namba zinamaanisha nini

Niambie China ina technologia gani kubwa kuizidi USA leo nafuta na jf kabisa [emoji1]

Hili swali ungeniuliza mimi ningekujibu kua marekani ipo mbele kwenye Technologia ya microchips

Wewe niambie directly kwamba China ipo mbele ya USA kwa Technologia maybe ya ujenzi na magnetic train [emoji1][emoji1] nije nikupe somo

Narudia tena China haijawahi kua na technologia ya maaana labda leo unipe somo wewe
Mambo ni mengi sana

Hypersonic weapon USA hana
 
Halafu mzee mimi ni mtalaamu wa Technology. Usinichukulie poa.
 
Mambo ni mengi sana

Hypersonic weapon USA hana
[emoji1][emoji1] kiongoz tuendee kuwanyoosha tu wakenya huku kwenye Technologia nitakuchakaza vibaya sana

Hio ilikua technology ya Germany miaka ya 1930 uko

Narudia tena nitajie technology kubwa ya mchina habari za hypersonic kasome upya China imeitoa wapi hio technology
 
😀 😀 😀Mzee. Mbona unaongea mambo ambayo hayapo.
Unanitisha?
Unajua technology ya 1930 wewe?
Leta evidence ya hicho unachokiongea huenda hujui hata maana ya hypersonic.
 
Hakuna matajiri wanaishi kwenye maskyscrapers ya vioo.... wachina wote wanandoto za kiushi Europe [emoji1][emoji1]

Barcelona, Spain....... nguvu ya per capita income View attachment 2502565
🤣🤣🤣 Hizi ni takataka bro .. majengo ya zamani.. yana heshima yake tho, lakini si katika uzuri wa dunia ya leo tuliza kalio hapo nikupe vitu
 
Sasa huo ni uoga, nmesema kama China hawana basi watakuwa wamepitwa kwenye nyanja hiyo ila kama wanazo itabidi tukubali kukubaliana thus y nmemuita sama boy aje atoe ushuhuda.
Hawa watakusumbua kichwa.. hizo cities za Europe zote zipo ndani ya china, tena Shenzhen iko na mixer ya Chinese traditional houses+ modern houses+ those European styled Houses. Cheki hii kwa mfano London bridge (the famous in Europe) 👇
pexels-photo-1427578.jpeg
London-Tower-Bridge-with-the-Shard-in-Background-700-x-425.jpg
vs this replica in china 👇
GettyImages_645863404.0.jpg
d8cb8a3c67951a1e085801.jpg
a-view-of-a-bridge-imitating-the-world-famous-london-tower-bridge-on-february-25-2017-in.jpg
ona mabalaa ya china kaka.. china inaku copy na inakupiga bao
 
Back
Top Bottom