Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulaya walishaendelea zamani hizo,shenzhen ni miji inayochipukia haviwezi kufanana...shenzhen kama majiji mengi yanayochipukia lazima uwe tofauti kabisa na miji ambayo ilishaendelea kama London ama Paris.
Na ukiangalia wachina wanacopy style ya USA maana kule ndio wanahizo skyscrapers tangu mwanzo mwa miaka ya 1900s...
Kama wewe unapenda skyscrapers utaona China imeendelea lakini kama unapenda architecture hutashuka kivile

Angalia mfano hizi Suburbs za London Tangu miaka ya 1930s hapa
View attachment 2502609View attachment 2502610View attachment 2502612

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hawa ndugu zako hawawezi elewa. Kuna mwengine alipost humu Mombasa old town eti anasema ni mahali ovyo yafaa pabomolewa. Yani huwa hawaappreciate architecture, wao wakiona skyscrapers za vioo - basi. Hawajua sahii China hadi imeban ujenzi wa supertalls kisa maghosttown yamekuwa mengi. Yani China na middle-east zimefanya kinachoitwa ego-building while Europe imejenga kucater for demand. Halafu kitu hawaelewi ni kwamba, construction technology ilikulia sana Europe ndio maana sahii kuna majengo mengi Europe yaliyojengwa 1000 years ago na bado yapo hali nzuri ya utumishi wakati sehemu zingine za dunia ni majengo machache sana ya hizo enzi yanayoweza kutumika sahii.
 
Hebu nipe definition ya maisha bora.
Angalia gdp per capita
Screenshot_20230201-201933_Chrome.jpg
Screenshot_20230201-201949_Chrome.jpg

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hawa ndugu zako hawawezi elewa. Kuna mwengine alipost humu Mombasa old town eti anasema ni mahali ovyo yafaa pabomolewa. Yani huwa hawaappreciate architecture, wao wakiona skyscrapers za vioo - basi. Hawajua sahii China hadi imeban ujenzi wa supertalls kisa maghosttown yamekuwa mengi. Yani China na middle-east zimefanya kinachoitwa ego-building while Europe imejenga kucater for demand. Halafu kitu hawaelewi ni kwamba, construction technology ilikulia sana Europe ndio maana sahii kuna majengo mengi Europe yaliyojengwa 1000 years ago na bado yapo hali nzuri ya utumishi wakati sehemu zingine za dunia ni majengo machache sana ya hizo enzi yanayoweza kutumika sahii.
Nawaza labda wanatikisa ili kujua WHY lakini kama tunabishana mazoea itakua tunapoteza wakati tu.
Matajiri wa kichina wanapeleka watoto wao UK kusoma ama USA ni vitu vya kawaida sio kwamba wao hawana elimu nzuri ila wanajua elimu nzuri zaidi iko wapi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Nawaza labda wanatikisa ili kujua WHY lakini kama tunabishana mazoea itakua tunapoteza wakati tu.
Matajiri wa kichina wanapeleka watoto wao UK kusoma ama USA ni vitu vya kawaida sio kwamba wao hawana elimu nzuri ila wanajua elimu nzuri zaidi iko wapi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Yaani mzee wangu unaruka ruka tu.
1675272439297.png
 
Those are not Police my dear.

Those are Field Force Unit (FFU), a state security division that works closely with Police and other state security organs such as Tanzania Intelligence and Security Services (TISS).

Tanzanian Police Uniform
misime-pic.jpg

csm_unnamed__4__8e55706993.jpg
Give me pictures of police constables or corporals not senior police bosses 😂
 
Back
Top Bottom