Busan
JF-Expert Member
- Aug 19, 2022
- 644
- 736
Kwa suala la Majengo ya Zamani, China anayo piaHawa ndugu zako hawawezi elewa. Kuna mwengine alipost humu Mombasa old town eti anasema ni mahali ovyo yafaa pabomolewa. Yani huwa hawaappreciate architecture, wao wakiona skyscrapers za vioo - basi. Hawajua sahii China hadi imeban ujenzi wa supertalls kisa maghosttown yamekuwa mengi. Yani China na middle-east zimefanya kinachoitwa ego-building while Europe imejenga kucater for demand. Halafu kitu hawaelewi ni kwamba, construction technology ilikulia sana Europe ndio maana sahii kuna majengo mengi Europe yaliyojengwa 1000 years ago na bado yapo hali nzuri ya utumishi wakati sehemu zingine za dunia ni majengo machache sana ya hizo enzi yanayoweza kutumika sahii.