Hakuna siku ukweli itageuka iwe uongo. Your sgr was not financed by the Turkish government alone. You received a further $1.4b loan from the Standard Chartered bank to finance the project na hii hapa ni taarifa ya Standard Chartered wenyewe from their own websiteSasa unataka kulazmisha uongo uwe ukweli au 🤣🤣🤣🤣🤣
Hatuna uwezo wa kununua magari ila Kenya kuna magari mengi kuliko Tanzania na zote ni za watanzaniaKenya wanashindwa kununua unga wa ugali tu, leo hii waweze kuwa na magari!!! 🤣 🤣 🤣
Leta source inayosema Kenya kuna magari mengi kuliko Tanzania. Leta na reference from you current Plate No.Hatuna uwezo wa kununua magari ila Kenya kuna magari mengi kuliko Tanzania na zote ni za watanzania
Hii ni nchi gani? Ungeitaja ili tulinganishe na hizo nyingine.Ndio maana nawaambia hamjielewi. The best cities in the world look like this.
Hapo ni Zurich, Switzerland.Hii ni nchi gani? Ungeitaja ili tulinganishe na hizo nyingine.
Umeshindwa kuleta idadi ya magari hapo kenya?
Kuna msemo unasema "chuma cha Mjerumani " kuonesha uimara wake.Germany ndio wanauza machine za kutengeneza machine uko China.
Germany ni moja ya nchi ambazo product zake ni genuine ukinunua ni mkataba hakuna janjajanja
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ndio maneno yenyewe haya. Hapa ni ushahidi wa uhakika maana mtu ameishi.Kuhusu Hawa wakulungwa Investing in US na Maeneo mengine Yanayoruhusu wageni kuwekeza au kununua nyumba na kupata Green card, hawa wakulungwa wanafanya kufuru. Ni shidaa.
US kuna ile EB 5 Visa ambayo inamtaka mtu awekeze at least dola 800,000 na kutengeneza 10 full time permanent Jobs for Americans . Nimewahi Piga day worker kampuni moja inaitwa AUCAN Link hii inahamisha wachina wenye hela kwenda Australia, US, Canada ni shidaaa.
BTW nimekaa Shanghai Miaka 4 na niliwahi shuhudia mdahalo kama huu hapa huo ulikua kati ya wao kwa wao
Japanese na Chinese (mtambue hawapendani) huu utani wa Kundustan na Bongo (chuki) ukasome. So endeleeni kudondosha madini mtajifunza kitu [emoji23].
Mimi nikiwa Kijana mpaka sasa hivi nimejitahidi kutangaza chochote cha Bongo kila nilipofanikiwa kupita[emoji41]
Hapa nikiwa Xuhui district Shanghai, Eneo linaitwa Xujiahui [emoji23].
View attachment 2501933
Maneno mengine haya yanazidi kuja. Wengine mlioishi majuu kujeni mtujuze, sisi hatuna upande mwenye haki yake atapewa.I lived in China (Shanghai) for 5 years and travelled all over the country. I've also lived in England (London and Leeds) and in several cities in the US including Chicago. I've travelled to pretty much every continent from Rio to Paris to Singapore.
When it comes to tall shiny new buildings and infrastructure in general (Road, Rail, Airports...) China wins hands down. No other country comes close in terms of scale. However there is more to a city than just tall soulless new buildings with zero character(cough, cough Dubai).
With that in mind there is no city in China that comes even close to the likes of Paris, Barcelona, Amsterdam, New York, Chicago, Tokyo...
Wangapi walifungwa kwa kuwabebesha mimba wanafunzi? Walitakiwa watuambie pia na hili.
Ethiopia wana issue gani mzee , hebu niambie base za uchumi wao , mimi nawaona easy sanaEthiopia hatuwapati leo wala kesho,wameshawasha Turbo alafu engine ni V12...
Hawa wakenya ndio tunaweza kuwala mchana kweupe japo tutachelewa kidogo...
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ni kweli mambo mengi ya silaha na teknolojia yalikuwa chini ya unagalizi. Hata Japan hakuruhusiwa pia kutengeneza silaha na jeshi bila ya uangalizi wa US.Nafikiri baada ya world war, Germany ilifungiwa kwa sheria za kimataifa kuhusu utengenezaji wa silaha na mambo mengine.
Official source ndio kama gani bongolala? This deal was signed when Turkish president visited your country View attachment 2502311View attachment 2502312View attachment 2502314View attachment 2502313
Me bado nina swali waliwezaje na sisi tunashindwaje? [emoji848][emoji848][emoji848]Ni kama baada ya kula nanasi halafu unywe maji [emoji1787][emoji1787].. hizi maneno sijui ultra modern facity, sijui world class what not.. me naona tuachane nazo tu [emoji1787][emoji1787].. Africa tuko na safari ndefu sana asee