tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Nchi za Asia ambayo zimeendelea zaidi ni Japan na South KoreaGermans wanauza machine za kutengeneza Machines [emoji16][emoji16][emoji16]
Hebu angalia hiyo BMW Factory ya Germany,
Halafu wanakuja wajinga wanasema kuna nchi za Asia zina technology kushinda Germany, Leave alone US.
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app