Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa umeachana na Europian Cities umehamia Toktyo tena? Hakuna mji wowote ulaya unaweza kushindana na Shenzhen. Take it from me.
Nilianza na Tokyo ila pia Europe, kitu Shenzen imeshindia miji ya Europe ni size pekee but ukichukua urban conurbations (Something you bongolalas need a lesson on), kunazo ambazo zinaikaribia kama Rhine Ruhr, Paris, London na Istanbul. Ikija kwa ubora wa jiji kando na ukubwa, Shenzen hana lake Europe, trust me. Ninyi watoto wadogo majumba ya glass yanawachanganya sana.
 
Ndio maana nikakwambia huijui Shenzhen. Mimi nimetembea miji mingi tu mikubwa ya Europe na nimetembea miji kadha wa kadha ya china.
China ipo dunia nyingine kabisa. Ndio maana nikakwambia chagua city yoyote ya Europe tuipambanishe na Shenzhen. And put in your mind Shenzhen ni mji wa mbali sana huko China.

Nimekuanzishia kwenye 100% Electric public transport in Shenzhen.
 
Dude, Tokyo is faaaaar ahead of Shenzen. There are only 2 cities in this world that can compare to Tokyo - London and New York. Some of you no nothing about what makes a city great.
Tatizo lako ukiletewa picha utaanza kusema oohh jiji sio majengo marefu sijui nn sijui nn kibaaaooo, utajaza vijineno kibao vya wazungu wanaokataa kuonekana wamepitwa na mchina ila ukweli upo machoni kila mtu anaona.
 
Ndio maana nikakwambia huijui Shenzhen. Mimi nimetembea miji mingi tu mikubwa ya Europe na nimetembea miji kadha wa kadha ya china.
China ipo dunia nyingine kabisa. Ndio maana nikakwambia chagua city yoyote ya Europe tuipambanishe na Shenzhen. And put in your mind Shenzhen ni mji wa mbali sana huko China.

Nimekuanzishia kwenye 100% Electric public transport in Shenzhen.
Tuwekee humu picha moja ukiwa Europe tuone.
 
Maisha yao wamezoea kukariri eti london yani nimecheka sana hio newyork ikae mkao wakula wa shenzen nimeiangalia yani ni motoo
Nchi pekee ya kubishana na China kwa ss ni US na hiyo US yenyewe ni baadhi ya miji, tusiishi kwa kukariri, mambo yamebadilika wazee, japo mm binafsi ukiniambia nichague pa kwenda kati ya China au US au UK nitachagua hzo mbili za mwisho.
 
At least umekubali ukweli. 🤣 🤣 🤣

Haya basi, tuendelee na mjadala sasa bila kuongeza uongo uongo.
Shenzhen Airport

SZX_5_Star_1.jpg
 
Ukweli ni kwamba miaka ya 70s to 90s Miji ya Ulaya ilikuwa mizuri. Lakini kwa sasa miji hiyo imebaki kuwa ni miji ya kihistoria ni miji ya makumbusho.
Ndio nakwambia, hapo shenzen ukiangalia nyumba ya kawaida ya mwananchi na ulinganishe na Munich Germany kwa mfano ndio utaelewa kwa nini nakwambia miji ya China bado sana kwa Europe.
 
Back
Top Bottom