Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BasiGo has partnered with the Associated Vehicle Assemblers Ltd (AVA) to assemble 1000 electric buses in Mombasa
View attachment 2500240
Meanwhile the company has added 15 more electric buses in Nairobi
View attachment 2500242View attachment 2500243
I boarded this bus not bad for an electric bus plus payment is mpesa only and uses expressway
FmSFpY1XkAMk_KN.jpg
 
Hali ni mbaya sana mgonjwa yuko ICU anapumulia mashine na kunywa uji wa IMF na WB.

Vichwa vinawapasuka huko😆😆 alaf wakija hapa wanajifanya wanatoa kinyesi kilaini wakat njia zao za kwenda chooni zimeota nyasi 😁😁
 
Wewe si Huwa unajifanya ni neutral? Ngoja wakupe vitasa

Sukuma gang wananishangaza sana wako kama machadomo,wanakana kazi za Rais wa Sasa na kuona hazina maana huku wakitaka Mwendazake asifiwe tuu na asikosolewa ni dhambj manaa yeye ni malaika na kwamba marehemu hasemqi vibaya eti aachwe apumzike

This is politics lazima watu wasemwe bila kujalisha wako hai au laa,Kwa mazuri au mabaya yote yana maana kwenye kujifunza.
MTUKUFU MAGUFULI ASIGUSWE NA MUHUNI YOYOTE WA SAMIA
 
Shida ni hao wenzetu wa Zambia wako slow kidogo kwenye maamuzi mpaka ikafikia viongozi wa Tanzania kuzishinikiza serikali hizi mbili kugawana reli kila mtu akae na kipande chake.

Mtakumbuka commuter train ya Tazara ilipoanza wazambia walipiga kelele sana kwamba inanufaisha upande mmoja. Hivi vitu vya kushare ndio matatizo yake.
Wao nao si wafanye commuter kwa upande wao
 
Kwn nani kakuita humu, alafu Watz wapumbavu kama wewe mmebaki wachache sana, unatoa maoni wkt hufuatilii thread, akili gn hizo. Hayo mawazo uliyonayo ni ya Watz wakitambo sn sio Watz toleo jipya kama sisi, nyie Watz toleo la kale mlikuwa mnaichukulia poa sana hii nchi ila cc toleo jipya tunawaonesha kwamba hii nchi usiichukulie poa, hata wakenya wametii na bado wanaendelea kutii ila nyie Watz toleo la kale mnajifanya kichwa ngumu in short nyie Watz toleo la kale ndio mnaoitwa bongolala.
TRUE na ni vibaya siku zote kujiona uwezi kila kitu mambo ya 2005 tuache hii ni Tanzania ya 2023 watu na passion mpya ya kuinua nchi yetu na tutapambana mpaka kieleweke umu ndani, na waondoe akili za ktu za kujiona wanyonge we are new generation,,,,,,
 
Back
Top Bottom