The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
It goes Ghana 😂Hali ni mbaya sana mgonjwa yuko ICU anapumulia mashine na kunywa uji wa IMF na WB.
Kenya’s Forex Reserves Drop to 88 Months-Low of KES 870.7 Billion - Kenyan Wallstreet
Kenya's forex reserves declined to 88 months-low of KES 870.7 Billion in the last week, according to data from the Central Bank of Kenya (CBK).kenyanwallstreet.com
Yaani hii station ni classy ya aina yake, haichoshi macho kuiangalia, dude likianza ntashuka kilosa niifaidi wallahi.Kilosa SGR station
View attachment 2500673

Ukweli sipendi huu mlinganisho siku nyingi sana!Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Ukubwa wa nchi sio kisingizio cha kutoweka lami mahali panapofaa. Tanzania is bigger than any European country except Russia.Ukweli sipendi huu mlinganisho siku nyingi sana!
Hakuna haja ya battle tena jamani. Nairobi wako juu sana kwa infrastructure. Usitegemee cosmopolitan city ambayo mabeberu wamewekeza na kuweka makazi ufanane na mji wa wabongo na wapemba wachache.
Halafu mbona mnashindanisha miji katika nchi zisizolingana ukubwa kwa lolote.
Angalia
Kenya- area= 582646km2
Uganda- 241038 km2
Burundi 27,834km2
Rwanda-26838km2
Tanzania- 945646km2
Kuweka maendeleo katika nchi ambayo inazidi ukuwa wa africa mashariki yote ni kazi kuliko vinchi kama Rwanda na Burundi.
Jakaya Kikwete alipotofautiana na Kagame kuhusu maendeleo alimwambia Kagame ukichukua lami ya tanzania itabidi nyumba na sebule zote za rwanda na vijiji vyote viwe lami na haitatosha!
It is not fair!
Huna sababu ya msingi uliotoaUkweli sipendi huu mlinganisho siku nyingi sana!
Hakuna haja ya battle tena jamani. Nairobi wako juu sana kwa infrastructure. Usitegemee cosmopolitan city ambayo mabeberu wamewekeza na kuweka makazi ufanane na mji wa wabongo na wapemba wachache.
Halafu mbona mnashindanisha miji katika nchi zisizolingana ukubwa kwa lolote.
Angalia
Kenya- area= 582646km2
Uganda- 241038 km2
Burundi 27,834km2
Rwanda-26838km2
Tanzania- 945646km2
Kuweka maendeleo katika nchi ambayo inazidi ukuwa wa africa mashariki yote ni kazi kuliko vinchi kama Rwanda na Burundi.
Jakaya Kikwete alipotofautiana na Kagame kuhusu maendeleo alimwambia Kagame ukichukua lami ya tanzania itabidi nyumba na sebule zote za rwanda na vijiji vyote viwe lami na haitatosha!
It is not fair!
Kwn nani kakuita humu, alafu Watz wapumbavu kama wewe mmebaki wachache sana, unatoa maoni wkt hufuatilii thread, akili gn hizo. Hayo mawazo uliyonayo ni ya Watz wakitambo sn sio Watz toleo jipya kama sisi, nyie Watz toleo la kale mlikuwa mnaichukulia poa sana hii nchi ila cc toleo jipya tunawaonesha kwamba hii nchi usiichukulie poa, hata wakenya wametii na bado wanaendelea kutii ila nyie Watz toleo la kale mnajifanya kichwa ngumu in short nyie Watz toleo la kale ndio mnaoitwa bongolala.Ukweli sipendi huu mlinganisho siku nyingi sana!
Hakuna haja ya battle tena jamani. Nairobi wako juu sana kwa infrastructure. Usitegemee cosmopolitan city ambayo mabeberu wamewekeza na kuweka makazi ufanane na mji wa wabongo na wapemba wachache.
Halafu mbona mnashindanisha miji katika nchi zisizolingana ukubwa kwa lolote.
Angalia
Kenya- area= 582646km2
Uganda- 241038 km2
Burundi 27,834km2
Rwanda-26838km2
Tanzania- 945646km2
Kuweka maendeleo katika nchi ambayo inazidi ukuwa wa africa mashariki yote ni kazi kuliko vinchi kama Rwanda na Burundi.
Jakaya Kikwete alipotofautiana na Kagame kuhusu maendeleo alimwambia Kagame ukichukua lami ya tanzania itabidi nyumba na sebule zote za rwanda na vijiji vyote viwe lami na haitatosha!
It is not fair!
Unajua nimeitafuta roundabout sijaiona?Khoja Roundabout
![]()
Mpuuzi usiyejielewa ! miye nipo huku Nairobi mwaka wa sita sasa!. Umekalisha makalio hapo dar nyuma ya key board! Siitetei Kenya ila ni vizuri ukawa objective wakati wa kuargue!Kwn nani kakuita humu, alafu Watz wapumbavu kama wewe mmebaki wachache sana, unatoa maoni wkt hufuatilii thread, akili gn hizo. Hayo mawazo uliyonayo ni ya Watz wakitambo sn sio Watz toleo jipya kama sisi, nyie Watz toleo la kale mlikuwa mnaichukulia poa sana hii nchi ila cc toleo jipya tunawaonesha kwamba hii nchi usiichukulie poa, hata wakenya wametii na bado wanaendelea kutii ila nyie Watz toleo la kale mnajifanya kichwa ngumu in short nyie Watz toleo la kale ndio mnaoitwa bongolala.
Hii ndio munaita roundabout 😆😆😆ohh my ribsKhoja Roundabout
![]()
Upo wapi gikomba au, fala wewe kumbe mkundustan.Mpuuzi usiyejielewa ! miye nipo huku Nairobi mwaka wa sita sasa!. Umekalisha makalio hapo dar nyuma ya key board! Siitetei Kenya ila ni vizuri ukawa objective wakati wa kuargue!
Mjadala huu umeendelea muda mrefu na nimekuwa mchangiaji mkubwa sijui nini kinakuwasha wewe!