Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha ujinga, hotuba bora kabisa ya rais hapa Tz ukiacha ya Nyerere ni ile iliyotolewa na JPM November 20 mwaka 2015, akihutubia bunge la 11. Mzee aliongea mambo ambayo yalinibadilisha akili na kuamini kwamba huyu atatuvusha.

Jamaa aliongea vitu ambavyo alikuja kuvifanya kiuhalisia, kumbuka kwamba sikumpigia kura 2015 kwa kudhani yeye pia ni kama kina JK wanaoongea vitu ambavyo hawawezi kuvitenda, JPM aliongelea kila lililokuwepo kwenye manifesto na alililitimiza kwa vitendo, hao kina JK walikuwa wanaongea ndoto ambazo walishindwa kuzitekeleza daima, nyie watu weusi unafki unawasumbua sn na ndio maana mpk leo maendeleo yamekuwa ni ndoto kwa unafki wenu.
Kila nikijarbu ktype mikono inatetemeka, Ee Mungu endelea kuusafisha Moyo wake yule aliyetufanya kuipenda Nchi yetu, aliyeweza kutukusanya katika taarfa za Habari kusikia chochote kutoka kwake, huenda asiwe perfect lakin ilikua ni zawadi umetupa. Tanzania haihitaji siasa bali Maendeleo tunaiga US ambao wanakila kitu walichobakiza ni Siasa tu.
 
IMG-20230130-WA0021.jpg
 
Back
Top Bottom