Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
Paboreshwe tuuKuna kituo nilikuwa sikipendi kinaitwa stesheni kama sikosei, kipo nyuma ya hayo majengo, wakibomoe haraka sana kinaleta picha mbaya, ilikuwa kama stand za Kenya.
Nani anayetupa lawama ya hicho? Mimi kinachoniudhi kwako ni kutaka kuleta ungomvi wa wasukuma na kitu ambacho hakipo.Kwahiyo wewe unaona sawa watu humu kukasirika mama kutumiwa pongezi za siku yake ya kuzaliwa? Kisa mwendazake hakuelewana na Wakundustan? Haya mbona hayakuwapo pre Sukumagang mentality era? Mbona kuelewana kwa Magufuli na Kagame hakukuleta figisufigisu kutoka kwa wafuasi wa JK? Au mnataka tufike mahali tusipeane pole kwenye majanga pia na majirani?
pita kule! huna mamlaka ya kuniongelesha hivyo shika zako! Usukumagang umefika mahali mpaka unaamua nani wa kum-wish Samia happy birthday! alaa, ni janga la ukoma!Nani anayetupa lawama ya hicho? Mimi kinachoniudhi kwako ni kutaka kuleta ungomvi wa wasukuma na kitu ambacho hakipo.
Unadhani kazi tunayoifanya humu tunafanya kazi ya nani? Hapa tupo kwaajili ya kumlinda Rais wa Tanzania.
Nakusihi achana na issue za kumuongelea mtu ambaye hayupo duniani. Na unatakiwa huelewe kiongozi yoyote hawezi kupendwa na wote. Kwahiyo achana na hao ambao wanao mponda Rais wa Tanzania kwa kuanza kuwatukana wasukuma. Haina afya kwako na kwa wengine.
Nakisihi hii stori iishe tuchape kazi.
TAZARA wajipambanue na kujiongeza, wanapaswa kuboresha reception ya hawa watalii! Vitu kama modern luggages trolleys ni muhimu for good tourists' experience!
TAZARA wajipambanue na kujiongeza, wanapaswa kuboresha reception ya hawa watalii! Vitu kama modern luggages trolleys ni muhimu for good tourists' experience!
Simon anatangaza michongo humu, Nicxie kauchuna, simu yangu ina tochi na naweza kunyanyua na kushusha,🤣🤣🤣Hahahaha, dah nmecheka sana .
Ungesoma nilichokiandika usinge andika ujinga huu. Unapoongelea sukuma gang unawaongelea wasukuma? Au hisia zako tu. Hujui Wasukuma ndio walio mlinda Rais kutokana na wajinga walitaka kumpindua Rais. Vitu vingine kama huvijui ni bora ukae kimya kuliko kuendeshwa na mihemko.pita kule! huna mamlaka ya kuniongelesha hivyo shika zako! Usukumagang umefika mahali mpaka unaamua nani wa kum-wish Samia happy birthday! alaa, ni janga la ukoma!
Point yako ni plums ni expensive ama?Boss najua bei ya hilo tunda pale Simply fresh
Hiko kisahani tu kuna mkulungwa ananunua kilo 3 za ile kitu kwenye lile sinia juu ya kiti![]()
Shida ni hao wenzetu wa Zambia wako slow kidogo kwenye maamuzi mpaka ikafikia viongozi wa Tanzania kuzishinikiza serikali hizi mbili kugawana reli kila mtu akae na kipande chake.Sahau, hao wazee wa hapo tazara hawawezi fikiria unavyofikiria wewe.
Nimeiangalia pia hio video...na pia namfuatilia youtuber I am Marwa kule kijijini kwake
Aisee kenya wanakazi kubwa za kufanya kwenye kuboresha maisha ya wakenya hasa huko vijijin..watu wana hali mbaya sana...hawana umeme..hawana kazi...wakiona mzungu tu na mtu mwenye aliokaa abroad wanamuomba hela...
Hebu Tazama hapa..mpaka mzungu anasema wanamuona benk...