Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nje ya nchi = Tanzania

Screenshot_20230129-103712_Twitter.jpg
Screenshot_20230129-103620_Twitter.jpg
 
Hili suala hapo wamejitahidi. Lkn, wajuzi wa mambo.. Tanzania sisi wenyew tunashindwa nn kushimba visima au kujenga yale matanks sijui silos vya kuhifadhi mafuta kama wamarekan wanavyofanya.. yan tujenga vya kutosha hata nusu mwaka au mwaka mzima, mfano hata bei ya mafuta ikipanda sisi haitatuaffect kwa mafuta yatakayokuwa yamereserviwa kwenye hivyo visima (yan bei yetu itabaki ileile mpk yatakapobaki ya mwezi mmoja au miwil)..
shida au kikwazo kiko wap? Mabeberu hawapend tusave mafuta mengi? Ili bei ikipanda wasitajirike? Au nn shida?

Hilo wazo lako haliwezi kutekelezeka ipasavyo kwa sasa kwasababu linaleta uhuru wa kiuchumi kwa nchi yetu. We fikiria tumekuwa na akiba ya mafuta kwa siku tatu tuu, inaingia akilini? Hawa watu wa WEF hawawezi kukubali tuwe na uwezo wa kuhifadhi mafuta mengi, tukijaribu watakuja na zile kampeni zao mazingira kama kipindi kile cha mchakato wa ujenzi wa bwawa.

Kwa sasa tumeshikishwa akili... yule aliyetuambia, "akili za kuambiwa changanya na zako" alimaanisha alichokisema. Yeye kwa miaka mingi amekuwa anakwenda sana Davos kwenye WEF, huko ndipo wanapomwambia cha kufanya. Kumbuka yeye ndiye dereva sasa, huyu tuliyenae ni mpiga debe tuu.
 
You should thank me for knowing that there are European countries that do not have electric trains which is directly opposite of what you believed. And yes, these countries are a million times better financially than your shithole country
Your reasoning and understanding abilities represent what is happening in your country. How can any country in this century build old model diesel engine trains, all those diesel engine railways were built over 100 yrs back, swallow your pride and shut up your foul smelling mouth.
 
basi wanani-mind mimi...! 🤭
Wewe si Huwa unajifanya ni neutral? Ngoja wakupe vitasa 😂😂

Sukuma gang wananishangaza sana wako kama machadomo,wanakana kazi za Rais wa Sasa na kuona hazina maana huku wakitaka Mwendazake asifiwe tuu na asikosolewa ni dhambj manaa yeye ni malaika na kwamba marehemu hasemqi vibaya eti aachwe apumzike 😁😁😁😁

This is politics lazima watu wasemwe bila kujalisha wako hai au laa,Kwa mazuri au mabaya yote yana maana kwenye kujifunza.
 
Back
Top Bottom