Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cha kushangaza bado wanalalamika hakuna ajira, zote umeongea ni fursa hapo kuanzia ughali wa mahindi (wanatakiwa wakalime kwa wingi ya umwagiliaji walitosheleze soko) na fursa kwenye uzoaji taka, umeshaelezea vizuri hili lakini hawa aggressiveness yao sijui ipo wapi ukiondoa ukora

Ndio hua najiuliza , kama mtu asiye aggressive anaona business opportunity wao aggressive wapo wapi, Pia hivi karibuni nimepitia pitia kampuni za uzoaji taka Nairobi kama za Dar nimegundua kuna kampuni kongwe ila ina wateja 300Yaani kampuni imeanzishwa miaka ya 80 ina wateja 300 wakati Kampuni moja bongo iliyoanzishwa miaka 7 iliyopita ina wateja wengi na ipo mikoa kadhaa
Yaani hawa watu ni midomo tu mirefu kama SGR ya Tanzania

Jisomee hapa.

Kenya

Tanzania.

Taja nchi yoyote ya Ulaya/tajiri ambayo imejenga reli ndani ya kipindi Cha miaka 40 nyuma, yaani kuanzia 1980s hadi Sasa ambayo imejenga "Diesel" railway trains
Ulisema hakuna nchi yoyote duniani yenye pesa haijajenga treni ya umeme. European countries are wealthier a million times than your shithole country yet some of them don't have electric trains. Do you think they lack the money to build electric railway system? Mibongolala ni mibongolala tu
 
Am I discussing here with someone having an empty case upstairs! Sio kwa jibu hilo ambalo hata wewe mwenyewe hauko comfortable to defend.
Sawa bongolala umeshinda. FIFA inatumia leagues to rank countries. Happy now?
 
Watalii wanaingia kwa treni kutoka south africa kenya ni ndoto ya alinacha kuota mchana kweupe

So tukiongelea Entry points Tanzania tunaongelea Aina zote za Entry points.( Major means of Transport) endeleeni kuhesabu transit kama tourist arrivals

Roads - kutokea kundustan all the way to Egypt Uganda etc

Railway- South Africa and the Whole of SADC
Air - kama kawa inajulikana
Water - hatusemi kitu( lakes , Indian ocean etc)
Btw Tourism is a labor intensive industry, hata wale Vijana wetu wa Datastar na Amazon college hawahitaji kubeba bango mgongoni na kuzurura nalo
 
The tallest building in East, Central, and West Africa
Britam Towers, UpperHill Kenya
2018-10-15-13-07-44_5bc491209bcd4_9045-jpeg.1271057

dji_0039-jpeg.1271058
 
Ndio hua najiuliza , kama mtu asiye aggressive anaona business opportunity wao aggressive wapo wapi, Pia hivi karibuni nimepitia pitia kampuni za uzoaji taka Nairobi kama za Dar nimegundua kuna kampuni kongwe ila ina wateja 300Yaani kampuni imeanzishwa miaka ya 80 ina wateja 300 wakati Kampuni moja bongo iliyoanzishwa miaka 7 iliyopita ina wateja wengi na ipo mikoa kadhaa
Yaani hawa watu ni midomo tu mirefu kama SGR ya Tanzania

Jisomee hapa.

Kenya

Tanzania.

How many kenyan companies are allover east african nations, i think that qualifies us as aggressive, mambo ya waste management kenya ni cartel controlled we prefer other businesses like banking
 
Ulisema hakuna nchi yoyote duniani yenye pesa haijajenga treni ya umeme. European countries are wealthier a million times than your shithole country yet some of them don't have electric trains. Do you think they lack the money to build electric railway system? Mibongolala ni mibongolala tu
Embu taja any European country ambayo haina electric trains.
 
Back
Top Bottom