Amari
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 974
- 2,145
Hao jamaa wa falme za kiarabu wanataka kuifanya TZ kuwa Oil Hub hapa East and Central Africa.Hivi hawa wanamtaka nani? Kipindi cha Magufuli walikua wanasema tunamtaka Rais mkali kama JPM, hiki kipindi cha mwanamke nao wanataka Rais mwanamke mpole [emoji23][emoji23][emoji23] alooo!
Nani anawaelewa hawa anisaidie ufafanuzi?
Tukiwekelea na ya Uganda hapo naiona kabisa petro Tshs yenye nguvu na uchumi mkubwa wa Bongo.