Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama serengeti ni ya kenya hapo wametupiga bao maana ipo vizuri kuliko beer nyingi za tz
Serengeti ni ya Tanzania,

Mvutano uliokuwepo Kati ya Serengeti breweries na East Africa breweries ni kuhusu beer ya Tusker. Maana hii nayo ilikuwa inatengenezwa na SBL. Wakazuiwa kuizalisha kwenye na ikapotea sokoni Taz.. Imebaki kenya huko.
 
Wakenya wametepeta.

IMG_20230129_072108.jpg
 
Hakuna haja ya kujenga Hydropower plant nyingne tatu mpya
1.Ruhudji 358 Mw
2. Rumakali 222 MW
3 .Kakono 87 MW (Hii imefika stage ya mwisho iendelee tu )

Hizo hela Bora GOT iweke kwenye miradi ya lami vijijini ili mazao ,na watu wasafiri vizuri , expand Dar port kuongeza cash flow na revenues , ongeza rural electrification . return zake ni kubwa JNHPP itapiga kazi for about 5 to 10 years mpka demand itakapokaribiwa , then wa resume Rumakali na Ruhudji

Timing is very crucial no need for over investing on big power projects after JNHPP, Malagarasi and rusumo , ambazonin 5 years zitakuwa zinazalisha umeme zote na zitaongeza 2216 MW kwenye grid kama hakuna shida ya mvua .

If we want to achive greatness lazima tu focus on key things, na tusifike level za Egypt au ghana nao walifnaya projects bila timing nzuri , wananchi wanalia

Haya ni mawazo yangu tu View attachment 2497846View attachment 2497862
Ni wazo zuri,Tunahitaji nguvunkubwa sana kwenye Barabara kuifungua Nchi,tena za lami sio mavumbi.

Kujenga wanaweza Jenga walau 1 au 2 within 5 years to come ila wasi stress Uchumi wa Nchi kama ilivyofanyika hapo awali.

Kumbuka target ya serikali ni kuwa na umeme wa megawatt 5,000 by 2025 na 10,000 by 2030..

Mgodi umetema huku 👇
 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Nishati tarehe 27 Januari, 2023 walisaini Mkataba wa makubaliano (Memorandum of Understanding) na Kampuni hiyo ya ENOC LLC kuhusu Ujenzi wa Kitovu cha Mafuta (Fuel Hub) hapa nchini
Kipevu oil jetty inaonekana kama kichekesho hapo nasikia watauza mafuta kwa bei karibu na ya Uarabuni na itatosheleza mahitaji ya nchi zote zinazotuzunguka
 
Hakuna haja ya kujenga Hydropower plant nyingne tatu mpya
1.Ruhudji 358 Mw
2. Rumakali 222 MW
3 .Kakono 87 MW (Hii imefika stage ya mwisho iendelee tu )

Hizo hela Bora GOT iweke kwenye miradi ya lami vijijini ili mazao ,na watu wasafiri vizuri , expand Dar port kuongeza cash flow na revenues , ongeza rural electrification . return zake ni kubwa JNHPP itapiga kazi for about 5 to 10 years mpka demand itakapokaribiwa , then wa resume Rumakali na Ruhudji

Timing is very crucial no need for over investing on big power projects after JNHPP, Malagarasi and rusumo , ambazonin 5 years zitakuwa zinazalisha umeme zote na zitaongeza 2216 MW kwenye grid kama hakuna shida ya mvua .

If we want to achive greatness lazima tu focus on key things, na tusifike level za Egypt au ghana nao walifnaya projects bila timing nzuri , wananchi wanalia

Haya ni mawazo yangu tu View attachment 2497846View attachment 2497862
Mawazo bila utafiti si kitu cha kuongea! Waliokadiria mahitaji ya 10,000 MW si wajinga walijumuisha ukuaji wa uchumi na idadi ya watu na upatikanaji wa umeme wa uhakika. Umeme ni viwanda vikubwa! Na tunahitaji ku-process malighafi sasa ili kukuza ajira na uchumi.
 
So it's now not about European countries again?![emoji23][emoji23][emoji23]
It's now about microstates? Explain to me how the countries I listed above are the same as Zanzibar that you are mentioning in terms of sovereignty. Explain to me which country Iceland is alienated to like Zanzibar is to Tanganyika
Cyprus and Greece dugu moja Andorra and Spain dugu moja watu wa Catalan hao. All are principalities within a larger European states same as Zanzibar is a nation within Tanzania.
 
Ni wazo zuri,Tunahitaji nguvunkubwa sana kwenye Barabara kuifungua Nchi,tena za lami sio mavumbi.

Kujenga wanaweza Jenga walau 1 au 2 within 5 years to come ila wasi stress Uchumi wa Nchi kama ilivyofanyika hapo awali.

Kumbuka target ya serikali ni kuwa na umeme wa megawatt 5,000 by 2025 na 10,000 by 2030..

Mgodi umetema huku [emoji116]
Huku kwetu Tz malengo ya serikali yote yanakwenda concurrently hakuna linaloachwa nyuma uwezo tunao wa kujenga miundombinu ya reli na barabara, umeme wa kutosha hadi vijijini na vipaumbele vingine kama elimu na afya.

Sisi sio watu wa mradi mmoja kama waleeeeee [emoji118]
 
Ninauhakika umeelewa ninlichosema, unajaribu kukwepa Ili kujiliwaza baada ya kugundua ujinga wenu wa kujenga "Diesel railway katika Karne ya 21, hovyo Sana ninyi.
You should thank me for knowing that there are European countries that do not have electric trains which is directly opposite of what you believed. And yes, these countries are a million times better financially than your shithole country
 
Back
Top Bottom