Jamen, humu kuna engineers (electrical & mechanical) anatafuta michongo niwe narusha updates humu?.. mana huwa napitia pitia pages za makampuni (viwanda) kutafuta tenders za kimaintenance services. Mara nyingi nakutana na employment opportunities wameziweka huko.. sometimes pia tunawapigia wahusika kuwaambia huyo mtu wanaemtafuta, hizo kazi zake tunaziweza kuzifanya kama kikampuni 'service provider', but most of them wanataka kuemploy mtu na si kuingia mkataba na kampuni nyingine.
Kuna tangazo kama hili, mechanical engineer anatafutwa
View attachment 2498485
Pia, mkiona kiwanda kinatafuta kampuni ya kufanya service au maintenance ya mashine yoyote hasahasa condition-based, condition monitoring na reliability services (hizi ni deals kubwa viwandan), 'jamen' msisite kushare huku, tupate hata kaugali ka watoto