Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wana ka CBD kamoja lkn wanakuambia wana CBD tatu, ukipiga picha ya juu vijengo vyote vinaonekana kwenye only one shot, na hiyo hiyo CBD moja bado mauchafu yamejaa, mavi, makopo, mikojo vyote vipo CBD. Sio wastaarabu kabisa hawa viumbe.
 
Penye viofisi viwili vitatu tayari CBDeeeee[emoji23] mfano ingekua Dar , ki cluster cha Pspf, TPA, MNF tayari ni CBD ya Kwanza , Ukishuka hapa chini Mzizima, Ben Mkapa, Rita, City Plaza Tayari CBD ya Pili [emoji23] Ukishuka huku chini Uhuru Heights, Viva, NMB, Serena Tayari Nyingine.

Ukija Morocco pale NHC tayari Nyingine , Victoria Tayari CBD ya Nane [emoji23], Kijitonyama Pale Mwanga, Milenium 1 & 2 tayariii [emoji23] hujaenda Kule PPF HQ , Mawasiliano tower, Maji house Etc tayari. [emoji41]
 
Jamaa wahuni sn aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Peaceful nationa mbona mnawekelewa
FB_IMG_1674916263453.jpg
 
Penye viofisi viwili vitatu tayari CBDeeeee[emoji23] mfano ingekua Dar , ki cluster cha Pspf, TPA, MNF tayari ni CBD ya Kwanza , Ukishuka hapa chini Mzizima, Ben Mkapa, Rita, City Plaza Tayari CBD ya Pili [emoji23] Ukishuka huku chini Uhuru Heights, Viva, NMB, Serena Tayari Nyingine.

Ukija Morocco pale NHC tayari Nyingine , Victoria Tayari CBD ya Nane [emoji23], Kijitonyama Pale Mwanga, Milenium 1 & 2 tayariii [emoji23] hujaenda Kule PPF HQ , Mawasiliano tower, Maji house Etc tayari. [emoji41]
Wacha kupoteza watu
 
FIFA doesn't consider leagues when ranking countries bongolala. If that were the case, England would be ranked number one in the world
Sasa maendeleo ya soka kwa nchi husika hupimwa na nini?
 
Jamen, humu kuna engineers (electrical & mechanical) anatafuta michongo niwe narusha updates humu?.. mana huwa napitia pitia pages za makampuni (viwanda) kutafuta tenders za kimaintenance services. Mara nyingi nakutana na employment opportunities wameziweka huko.. sometimes pia tunawapigia wahusika kuwaambia huyo mtu wanaemtafuta, hizo kazi zake tunaziweza kuzifanya kama kikampuni 'service provider', but most of them wanataka kuemploy mtu na si kuingia mkataba na kampuni nyingine.
Kuna tangazo kama hili, mechanical engineer anatafutwa
20230128_182402.jpg

Pia, mkiona kiwanda kinatafuta kampuni ya kufanya service au maintenance ya mashine yoyote hasahasa condition-based, condition monitoring na reliability services (hizi ni deals kubwa viwandan), 'jamen' msisite kushare huku, tupate hata kaugali ka watoto
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jobless 9 years ashakua expert jobless tatizo haoni kama hilo sio fungu lake hana plan B na madegree yote hayo ya kazi gani sasa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka yote hiyo elimu yake imeshakua obsolete ndio maana akili yake imemtuma atembee na bango mgongoni.
 
Back
Top Bottom