Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili suala hapo wamejitahidi. Lkn, wajuzi wa mambo.. Tanzania sisi wenyew tunashindwa nn kushimba visima au kujenga yale matanks sijui silos vya kuhifadhi mafuta kama wamarekan wanavyofanya.. yan tujenga vya kutosha hata nusu mwaka au mwaka mzima, mfano hata bei ya mafuta ikipanda sisi haitatuaffect kwa mafuta yatakayokuwa yamereserviwa kwenye hivyo visima (yan bei yetu itabaki ileile mpk yatakapobaki ya mwezi mmoja au miwil)..
shida au kikwazo kiko wap? Mabeberu hawapend tusave mafuta mengi? Ili bei ikipanda wasitajirike? Au nn shida?
 
Hivi KDF wanafanya Nini?
Screenshot_20230127-200538 (1).jpg
 
Hili suala hapo wamejitahidi. Lkn, wajuzi wa mambo.. Tanzania sisi wenyew tunashindwa nn kushimba visima au kujenga yale matanks sijui silos vya kuhifadhi mafuta kama wamarekan wanavyofanya.. yan tujenga vya kutosha hata nusu mwaka au mwaka mzima, mfano hata bei ya mafuta ikipanda sisi haitatuaffect kwa mafuta yatakayokuwa yamereserviwa kwenye hivyo visima (yan bei yetu itabaki ileile mpk yatakapobaki ya mwezi mmoja au miwil)..
shida au kikwazo kiko wap? Mabeberu hawapend tusave mafuta mengi? Ili bei ikipanda wasitajirike? Au nn shida?
Aliyekuwa anauthubutu hayupo now, wacha wamalizie miradi yake basi.
 
Back
Top Bottom