Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
How will they understand? The only language they understand is uswazi hovelsEvery Kenyan's dream is owning a house in those leafy surbubs. Bongolalas will never understand
How will they understand? The only language they understand is uswazi hovelsEvery Kenyan's dream is owning a house in those leafy surbubs. Bongolalas will never understand
For the first time nakuona ukipingana na takwimu🤣🤣Kwa sasa watu wamerudi kwenye umaskini kwasababu yamfumuko wa bei vmza bidhaa muhimu,mtu ambae kipato chake ni 10,000/= kwa siku kama kilikua kinamtosha miaka miwili iliopita sahivi hakitoshi tena na kipato hakijaongezeka.
Serikali iingilie kati huu mfumuko wa bei unaumiza sana watu wa chini
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Bado wako locationHivi KDF wapo DRC au walisharudi Kunyaland?




Its diffcult ku control inflation kama una free market na pia nchi zilizokuzunguka zina inflation au duniani kuna inflation.Mchele kg1 tsh2800
Maharage1kg 3800
Unga 1kg tsh 1800
Nyama 1kg tsh 8000
Alafu day worker kwa kutwa 10,000/= kwa boss muelewa
Kwahyo watu wasilie maisha magumu kwasababu ya Argentina na wanaishi Tanzania? We vp bana we
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Haieleweki mkuu mana kwanza haieleweki hata wamefuata nn huko na haieleweki wanafanya nini, ni moja kati ya jeshi la vioja duniani.Hivi KDF wapo DRC au walisharudi Kunyaland?
Mhindi kapiga kazi ya maana kaacha wakenya masikini wakijihangaikia
Umeacha kazi yako uliyotumwa huko. Hapa unaingia na IDs zaidi ya 5, you are insecure.Wewe ndio huyo kazikazi kumbe? Jamaa hakuwa na akili kabisa.
Insecure ni Yule aliyededicate Maisha yake kunichunguza.🤣🤣🤣Umeacha kazi yako uliyotumwa huko. Hapa unaingia na IDs zaidi ya 5, you are insecure.
Tunaomba wakenya watupe maelezo juu ya hiliHaieleweki mkuu mana kwanza haieleweki hata wamefuata nn huko na haieleweki wanafanya nini, ni moja kati ya jeshi la vioja duniani.
Kwani unaandika vitu ndani ya chupi yako? Vitu unaandika public kila mtu anaviona. Huoni unachokifanya ni ujinga na ushamba? Unaichafua Tanzania faida yako ni nini?Insecure ni Yule aliyededicate Maisha yake kunichunguza.🤣🤣🤣
Umejibu kisomi na nimefurahia hii replyIts diffcult ku control inflation kama una free market na pia nchi zilizokuzunguka zina inflation au duniani kuna inflation.
Swala la inflation kiukubwa linaletwaga na Gas prices , Hasa mafuta yakipanda
Issue kubwa ya wa Tz au wafanyabiashara ni kupandisha kila kitu nje ya uhalisia hasa wakishaona mafuta yamepanda Bei ,
Serikali inaweza kuingilia kati kwa kuweka bei elekezi hasa ikishakuwa na uhakika kuwa supply ipo ila ni wafanyabiashara wamejiongezea bei
Naturally inflation always ipo , sema kwa rate ndogo ndogo kila mwaka
Ndo maana kwa wana uchumi wengi hata wa nje ya nchi na kwa investor wengi inashauriwa usiwe na Cash reserves nyingi either as individual , company au nchi
Kama hiyo cash haitumiki recurently au haitatumika soon ni bora ununue vitu vinavyoweza ku maintain value over time
Kama Land, Gold , Silver , Diamond, Bitcoin (Kwa wengine),
Kwa sababu Cash hata USD always will loose value over time cause of inflation.
Nakupa mfano wa Egypt Pound imepoteza Value sana last year wana crisis kubwa sana nchini mwao
Kutoka 1usd by 13Egypt pound to 29 egypt pound , unahitaji as twice ku acess dollar
Ni kama uhitaji 4600 tsh kununua Usd 1 from 2300 sasa hivi
Tusiombee Tanzania tufike hapa
Unaelewa maana ya ku dominate kweli?Sisi kijana tunacheza soccer. Achana na michezo hiyo ya kitumwa
![]()
What!! Yaani Aside from these 3 buildings, let's be honest...what is Dar?
Tunaongelea International (FIFA) wewe unaleta upuuzi wa volleyball. Stupid Kenyan. NairobiWalker amekuachia account?Unaelewa maana ya ku dominate kweli?View attachment 2496941View attachment 2496943View attachment 2496943View attachment 2496945View attachment 2496946