Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe TPA inakuanga na mkia ndefu nono kama mkia wa kondoo wa kiume? 😂😂😂
IMG_6529.jpg
 
Kwahiyo we Mkundustan unamaanisha hamna 15 to 25 floors buildings across Dar es salaam? In city center alone there r bin 25 n 30 buildings of 20 floors n above!
Hii story ya buildings above 20 floors tulimalizana nayo last year. Mliukwepa kama kaa la moto baada ya kusense kushindwa
 
Kwahiyo we Mkundustan unamaanisha hamna 15 to 25 floors buildings across Dar es salaam? In city center alone there r bin 25 n 30 buildings of 20 floors n above!
Hebu list hizo 30 buildings above 20 floors in Dar cbd tuzione
 
Yani unaongelea the most profitable company in east and Central Africa kucollapse? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe umejazwa chuki za kijinga sana aise!

Do you know something called restructuring?

Na je, wajua kwamba hizi positions kwenye makampuni sio permanent? Kwamba at some point hatamu huisha na wengine wapya kuchukua nafasi zilizoachwa wazi?

Stop looking at everything through the lenses of jealousy
Haha jealousy? When I'm jealous about your failed state is the day I'm dead.

Hiyo kubadilishana position mbona imekuwa kubwa sana wakati huu? Hebu niambie toka December hadi Sasa wangapi wametoka?
 
Haha jealousy? When I'm jealous about your failed state is the day I'm dead.

Hiyo kubadilishana position mbona imekuwa kubwa sana wakati huu? Hebu niambie toka December hadi Sasa wangapi wametoka?
I told you kuna kitu kinaitwa term limits. Hizi term limits zikiisha what do you expect? Mbona kitu rahisi huelewi?

Bongolala, Safaricom is one of the most profitable companies on the African continent. Itafilisika tu kwa ndoto zako
 
Inflation kuna short term na long term planning

Issue kubwa inasabisha bidhaa kupanda ni kama kuna shortage so tukianza na long term strategies

1.Kuongeza Industrial Parks zitazozalisha basic things , mfano ile SinoTan Industrial park ya kibaha ziwe nying angalu kila zone kuwe na moja , so tuwekeze kupunguza imports na kuongeza exports ingawa so far Industrial exports ziko 1.5billion usd last year

2 . Agriculture hii sina usemi , budget imeongezeka so over time tutaona massive improvement , na food infaltion itapungua u

3. Kuhsu mafuta hatuwezi ku control , kama bado tuna import , labda tu imporve kwenye electrical cars , Na Natural Gas System kama zita imrpove kutotumia mafuta kwenye magari ,
SGR pia itasaidia maana itatumia umeme na inaweza kupunguza malorry na ma bus

4 . Issue kubwa ni kuongeza uzalishaji ambacho naona serikali imevalia njuga

5.Kujitajidi kutoingia kwenye Debt Distress kama nchi nyingne na kupungza speed ya Mega projects .mfano Egypt , Ghana

Kwa sasa Tz does not need to invest on any power projects ikimalizana JNHPP , miraidi iwe bei ndogo kila mwaka mfano badala ya kuchuka mradi wa 3bn usd kama JNHPP tunaweza jenga mtambo wa gesi wa 300mil usd kila miaka 2 , itapunguza stress ya Kutafuta USDs

Tukimaliza SGR phase 2 tu focus soley kwenye kuongeza Barabara za lami kufikia vijijini

Tu expand port ya Dar es salaam kujenga Gati mpya kabla ya kwenda kwenye Bagamoyo port Harakaharaka

Hatuna haja ya ku baloon debt yetu kwa speed sana tuwe cautious na deni letu na tufanye miradi itayogusa wengi isiyodemand dollar sana



SHORT term
1.Kuingilia kati kwa kuweka bei elekezi is the only way short term

2. Kufanya subsidization ya mafuta etc
Watu wenye akili kama nyinyi huwa hampewi nafasi serikalini sijui kwanini. Big up sana bro![emoji123][emoji123][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom