Hakuna filter hapo muulize KENPAULITEYou should be the last person to talk about filtered images when you and your fellows post filtered images of Dar here on a daily basis! View attachment 2497166View attachment 2497167View attachment 2497168View attachment 2497169View attachment 2497170
Hivyo ndivyo wakenya walivyo, ni watu wa hovyo Sana hawa jamaaOneni huyu mjinga wa kikunya.
Huyu kasema Tanzania tayari imeshaipita Kenya 😶Nimeona Wakenya wengi sana maarufu (wanasiasa, wanaharakati na wanafunzi) wametuma salamu za heri ya kuzaliwa kwa Rais Samia. Nimestuka sana na haya mapenzi ya ghafla ya hawa jirani zetu, ukiangalia kwa undani kabisa unaona ni salamu ambazo ziko staged kwa lengo maalumu kabisa, nadhani ni kamkakati ka kumuweka mtu kati Mama alegeze mambo fulani fulani, sababu namna ambavyo tumewashika hawa jamaa, sioni wakitoboa any time soon. Anyways, ngoja tuone.
Uyo Mwanamke kwenye frame#2 Anaongea kiswahili safi kabisa na inaonekana ni msomi ,Wakenya ambao hamjui kiswahili mnasababu zipi za msingi?Huyu kasema Tanzania tayari imeshaipita Kenya
Frame #2
Kila siku nahangaika na Economics kumbe kuna Professor




jamaa ameshusha nondo. Humu ndani kuna watu wako vizuri sana, watu wana mawazo chanya sema ndio hivyo huwa hawapewi nafasi kuonyesha umahiri wao. 



Wewe kijana wa Tandale unapenda ubishi sana.Hakuna filter hapo muulize KENPAULITE
Nipee picha kama hiyo nje ya hiyo cbd yenu tuone. An aerial view of such density leta tuonePicha ya upande upande mapengo kama yote![]()
Hatuna pesa ya kufanya nini bongolala?Aha haa haa
You want to research on obvious?? The reason ni kuwa you have no money.
Ni ngalawa (boat) hiyo.Kumbe TPA inakuanga na mkia ndefu nono kama mkia wa kondoo wa kiume? 😂😂😂
View attachment 2497033
Hatuna pesa ya kufanya nini bongolala?
Hivyo ndivyo wakenya walivyo, ni watu wa hovyo Sana hawa jamaa
Siku William Kipchirchir Samoei Arap Ruto akiwa na birthday wampongeze kama hivi ndio tutawaelewa na sio kivingine. Waache kujipendekeza pendekeza kwa wabongo hawa nyang'au.Wana shobo za kishamba.
Si tuliwashtukia kwenye sabotage yao kwenye maparachichi. Hawa jamaa ni wanafiki sana! Walikua wanataka kuua soko lote la parachichi la TanzaniaNimeona Wakenya wengi sana maarufu (wanasiasa, wanaharakati na wanafunzi) wametuma salamu za heri ya kuzaliwa kwa Rais Samia. Nimestuka sana na haya mapenzi ya ghafla ya hawa jirani zetu, ukiangalia kwa undani kabisa unaona ni salamu ambazo ziko staged kwa lengo maalumu kabisa, nadhani ni kamkakati ka kumuweka mtu kati Mama alegeze mambo fulani fulani, sababu namna ambavyo tumewashika hawa jamaa, sioni wakitoboa any time soon. Anyways, ngoja tuone.

Siku William Kipchirchir Samoei Arap Ruto akiwa na birthday wampongeze kama hivi ndio tutawaelewa na sio kivingine. Waache kujipendekeza pendekeza kwa wabongo hawa nyang'au.



Wakenya kutojua Kiswahili ni fikra zilizo vichwani mwenu.Uyo Mwanamke kwenye frame#2 Anaongea kiswahili safi kabisa na inaonekana ni msomi ,Wakenya ambao hamjui kiswahili mnasababu zipi za msingi?
Hata hivyo aliyosema yanaukweli Ndani yake Mh aongeze Bidii zaidi
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app