Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngoja uchanganyikiwe kwanza. Hapa ni Dar es salaam

265502564_446443996997670_4493273228135670710_n.jpg
 
Inflation kuna short term na long term planning

Issue kubwa inasabisha bidhaa kupanda ni kama kuna shortage so tukianza na long term strategies

1.Kuongeza Industrial Parks zitazozalisha basic things , mfano ile SinoTan Industrial park ya kibaha ziwe nying angalu kila zone kuwe na moja , so tuwekeze kupunguza imports na kuongeza exports ingawa so far Industrial exports ziko 1.5billion usd last year

2 . Agriculture hii sina usemi , budget imeongezeka so over time tutaona massive improvement , na food infaltion itapungua u

3. Kuhsu mafuta hatuwezi ku control , kama bado tuna import , labda tu imporve kwenye electrical cars , Na Natural Gas System kama zita imrpove kutotumia mafuta kwenye magari ,
SGR pia itasaidia maana itatumia umeme na inaweza kupunguza malorry na ma bus

4 . Issue kubwa ni kuongeza uzalishaji ambacho naona serikali imevalia njuga

5.Kujitajidi kutoingia kwenye Debt Distress kama nchi nyingne na kupungza speed ya Mega projects .mfano Egypt , Ghana

Kwa sasa Tz does not need to invest on any power projects ikimalizana JNHPP , miraidi iwe bei ndogo kila mwaka mfano badala ya kuchuka mradi wa 3bn usd kama JNHPP tunaweza jenga mtambo wa gesi wa 300mil usd kila miaka 2 , itapunguza stress ya Kutafuta USDs

Tukimaliza SGR phase 2 tu focus soley kwenye kuongeza Barabara za lami kufikia vijijini

Tu expand port ya Dar es salaam kujenga Gati mpya kabla ya kwenda kwenye Bagamoyo port Harakaharaka

Hatuna haja ya ku baloon debt yetu kwa speed sana tuwe cautious na deni letu na tufanye miradi itayogusa wengi isiyodemand dollar sana

SHORT term
1.Kuingilia kati kwa kuweka bei elekezi is the only way short term

2. Kufanya subsidization ya mafuta etc
Watu wenye akili kama nyinyi huwa hampewi nafasi serikalini sijui kwanini. Big up sana bro!
 
I told you kuna kitu kinaitwa term limits. Hizi term limits zikiisha what do you expect? Mbona kitu rahisi huelewi?

Bongolala, Safaricom is one of the most profitable companies on the African continent. Itafilisika tu kwa ndoto zako
Haya mambo huwa wana anza pole pole hivyo hivyo tuu

Na hapo bado KRA haija link mifumo yake na safaricom ili wawakamue vizuri. Board yote ya safaricom wameshaitingisha.

Kabaki ndegwa kibaraka itabidi akubali tu ili nae nafasi yake isiguswe.
 
Inflation kuna short term na long term planning

Issue kubwa inasabisha bidhaa kupanda ni kama kuna shortage so tukianza na long term strategies

1.Kuongeza Industrial Parks zitazozalisha basic things , mfano ile SinoTan Industrial park ya kibaha ziwe nying angalu kila zone kuwe na moja , so tuwekeze kupunguza imports na kuongeza exports ingawa so far Industrial exports ziko 1.5billion usd last year

2 . Agriculture hii sina usemi , budget imeongezeka so over time tutaona massive improvement , na food infaltion itapungua u

3. Kuhsu mafuta hatuwezi ku control , kama bado tuna import , labda tu imporve kwenye electrical cars , Na Natural Gas System kama zita imrpove kutotumia mafuta kwenye magari ,
SGR pia itasaidia maana itatumia umeme na inaweza kupunguza malorry na ma bus

4 . Issue kubwa ni kuongeza uzalishaji ambacho naona serikali imevalia njuga

5.Kujitajidi kutoingia kwenye Debt Distress kama nchi nyingne na kupungza speed ya Mega projects .mfano Egypt , Ghana

Kwa sasa Tz does not need to invest on any power projects ikimalizana JNHPP , miraidi iwe bei ndogo kila mwaka mfano badala ya kuchuka mradi wa 3bn usd kama JNHPP tunaweza jenga mtambo wa gesi wa 300mil usd kila miaka 2 , itapunguza stress ya Kutafuta USDs

Tukimaliza SGR phase 2 tu focus soley kwenye kuongeza Barabara za lami kufikia vijijini

Tu expand port ya Dar es salaam kujenga Gati mpya kabla ya kwenda kwenye Bagamoyo port Harakaharaka

Hatuna haja ya ku baloon debt yetu kwa speed sana tuwe cautious na deni letu na tufanye miradi itayogusa wengi isiyodemand dollar sana

SHORT term
1.Kuingilia kati kwa kuweka bei elekezi is the only way short term

2. Kufanya subsidization ya mafuta etc
Mwigulu Nchemba pita huku.
 
Haya mambo huwa wana anza pole pole hivyo hivyo tuu

Na hapo bado KRA haija link mifumo yake na safaricom ili wawakamue vizuri. Board yote ya safaricom wameshaitingisha.

Kabaki ndegwa kibaraka itabidi akubali tu ili nae nafasi yake isiguswe.

So mawazo ya mtu binafsi kule twitter ndio unajiliwaza nayo? Wewe bure sana 😂

About taxes, where did you read the the company has not been tax compliant ndio serikali iwakamue saa hii? Ingia Google ukipata taarifa kama hiyo don't hesitate to share with me.

In the meantime, Safaricom will only collapse in your dream 😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom