Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kawaida mbona kwa miji yenye population kubwa...juzi niliona trams za Jerusalem na Tel Aviv zinajaza Mwendokasi ikasome...so ni kawaida kwa rush hours...but nadhani walitafanyia kazi...

Ni bora muwe nayo kuliko kutokuwa nayo kabisa nyie vip Nairobi mulioishia kujenga vitu viwili na kuishiwa funds[emoji23][emoji23]

Hela zao hazijawahi maliza kitu bila kukatika, Angalia lile jengo lao la NSSF 😂
 
Na hiyo Milioni 18 msimu mpya unaweza ukaanza wakiwa wanadai zawadi ya msimu uliopita.
Jamaa wako hovyo mnoo, Kenya ni maskini sn hata wanamichezo wa Kenya wengi ni mafukara, wachache sana wako vizuri kipesa but wengi ni hohehahe hata kama watashinda medals but wanabaki mafukara kwasabu ya umaskini wa nchi, nchi yao inaendeshwa kwa mikopo ni vile waliwahi kujitangaza thus y ukaona vi article kibao vikitaja Kenya mbele ya Tz but nowadays Watz wameamka kila nyanja na ndio maana unaona tumeanza kusafisha hivyo vi article ushuzi.
 
Ni ndoto ya kila mchezaji wa kenya kupata nafasi ya kucheza Tanzania Premier League.
 
Tanzania is so Green [emoji172]

Muheza, Tanga.
FB_IMG_16748934240754133.jpg
Screenshot_20230128-111106.jpg
 
Nimeiangalia pia hio video...na pia namfuatilia youtuber I am Marwa kule kijijini kwake

Aisee kenya wanakazi kubwa za kufanya kwenye kuboresha maisha ya wakenya hasa huko vijijin..watu wana hali mbaya sana...hawana umeme..hawana kazi...wakiona mzungu tu na mtu mwenye aliokaa abroad wanamuomba hela...

Hebu Tazama hapa..mpaka mzungu anasema wanamuona benk...

Nimeangalia hii video kweli inasikitisha 😂😂😂 mkenya mmoja kanunuliwa mafungu mawili ya dagaa 😂😂😂 na kg1 ya ngano kamshukuru Mzungu mpaka na magoti 😂😂😂

Wakenya dagaa ni chakula cha masikini wa mwisho Tanzania sijajua huko kwenu ni kama pizza 🍕😂😂😂

Mtanzania ukimletea zawadi ya dagaa ni kama umemtukana na matusi ya nguoni kumbe huko kenya ni kitu cha maana hivi? 🤔
 
Nimeangalia hii video kweli inasikitisha [emoji23][emoji23][emoji23] mkenya mmoja kanunuliwa mafungu mawili ya dagaa [emoji23][emoji23][emoji23] na kg1 ya ngano kamshukuru Mzungu mpaka na magoti [emoji23][emoji23][emoji23]

Wakenya dagaa ni chakula cha masikini wa mwisho Tanzania sijajua huko kwenu ni kama pizza [emoji487][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtanzania ukimletea zawadi ya dagaa ni kama umemtukana na matusi ya nguoni kumbe huko kenya ni kitu cha maana hivi? [emoji848]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kawaida mbona kwa miji yenye population kubwa...juzi niliona trams za Jerusalem na Tel Aviv zinajaza Mwendokasi ikasome...so ni kawaida kwa rush hours...but nadhani walitafanyia kazi...

Ni bora muwe nayo kuliko kutokuwa nayo kabisa nyie vip Nairobi mulioishia kujenga vitu viwili na kuishiwa funds[emoji23][emoji23]

The Red lines (lipsticks?) are faded, the BRT Busses are not on site😅😅
 
Nimeangalia hii video kweli inasikitisha [emoji23][emoji23][emoji23] mkenya mmoja kanunuliwa mafungu mawili ya dagaa [emoji23][emoji23][emoji23] na kg1 ya ngano kamshukuru Mzungu mpaka na magoti [emoji23][emoji23][emoji23]

Wakenya dagaa ni chakula cha masikini wa mwisho Tanzania sijajua huko kwenu ni kama pizza [emoji487][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtanzania ukimletea zawadi ya dagaa ni kama umemtukana na matusi ya nguoni kumbe huko kenya ni kitu cha maana hivi? [emoji848]

Kubandika hili dude Mgongoni na kutembea nalo si angeomba Abebe. Tangazo la Product yoyote aingize kipato, Imagine kasomea hayo mambo ya Business na anateseka hivi mwaka wa Tisa, Je sisi wa Datastar si tungekufa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

IMG_4915.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hali ni mbaya sana huko kenya...

Watu hata huki vijijini wanajua kingereza vzr kama walondon lakin nyumba anayoishi sasa....

Tanzania Kuna mikoa ukikuta nyumba ya udongo labda ni jiko lakin huko kwao ni nyumba ni udongo mwanzo mwisho....
 
Nimeangalia hii video kweli inasikitisha [emoji23][emoji23][emoji23] mkenya mmoja kanunuliwa mafungu mawili ya dagaa [emoji23][emoji23][emoji23] na kg1 ya ngano kamshukuru Mzungu mpaka na magoti [emoji23][emoji23][emoji23]

Wakenya dagaa ni chakula cha masikini wa mwisho Tanzania sijajua huko kwenu ni kama pizza [emoji487][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtanzania ukimletea zawadi ya dagaa ni kama umemtukana na matusi ya nguoni kumbe huko kenya ni kitu cha maana hivi? [emoji848]
Wee mwana bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
FIFA doesn't consider leagues when ranking countries bongolala. If that were the case, England would be ranked number one in the world
Kwenye soka tunaangalia zaidi ligi kuliko timu za taifa mana clubs zinaingizia taifa kipato kikubwa sana kuliko timu za taifa, thus y kwenye ranking za fifa tupo chini lakini kwa ubora wa ligi kila mkenya na East and Central Africa wote wanapambana kuja kucheza Tz.
 
Kubandika hili dude Mgongoni na kutembea nalo si angeomba Abebe. Tangazo la Product yoyote aingize kipato, Imagine kasomea hayo mambo ya Business na anateseka hivi mwaka wa Tisa, Je sisi wa Datastar si tungekufa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2498135
Ndio kina Nicxie hawa, wamesomea education mwaka wa ishirini huu hana kazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom