Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FnVQE7nWAAIKVUa.jpg

FnVP9liXEAMkAUL (1).jpg

MWANZA, TANZANIA NI motooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Kwenye soka hatupaswi kulinganishwa na nyie, bingwa Tz anapata prize milioni 600 but bingwa Kenya anapata milioni 18
Kama hiyo ndio kitu inazingatiwa Kenya haingekuwa mbele yenu kwenye FIFA ranking. Tumia akili angalau kidogo
 
Ndio hivyohivyo, hakuna nchi yoyote yenye pesa na uongozi Bora ambayo inajenga rail inayotumia "Diesel" ktk Karne hii
Kwa hivyo Tanzania, a Third World country iko na pesa nyingi sana kuliko hata zile nchi za ulaya ambazo hazina electric train? 😂😂😂
Yani kujiliwazana kujifariji hamjambo! 😃😃
 
Hivi kwanini Serikali isifanye namna hii, kuanzia pale kwenye Chuo cha DMI mpaka usawa huu wa Court of Appeal wajenge Terminal ya abiria ya kisasa ambayo itatumika for both Cruise Ships na Normal Ships ambayo itakuwa na maofisi ya wasafirishaji, forodha, immigration na other agencies. Alafu ile DMI peleka kule Mwalimu Nyerere University wakipanue kiwe Chuo Kikuu cha Marine Studies. Then ile Mwalimu Nyerere wale wanafunzi peleka kule Chuo cha Butiama ambacho hakuna wanafunzi wakasome huko. I’m thinking out loud.
Idea Nzuri Hapo inaweza pigwa terminal kali , na University kuamina kigamboni ni idea nzuri

We need a modern Cruise terminal and Passenger terminal sio hizo tu plus the water front area from Fish Market kuja Posta na plus coco beach area needs upgrading kuwa na water front kali , ila nahisi kama Sio PPP project , sioni goverement ikiamka kujenga water front kali miaka ya karibuni , labda Cruise Terminal . But this is just my predicition

Na hope GOT watuproove wrong na wajenge water front , plus i dont think it will cost that much to be honest

Benefit ya hii project ni kwamba Coco Beach itapata Ocean front hotels na domestic toursim itaongezeka .

Cruise terminal itaongeza watalii wa nje

Ila DMI wakitaka kuhama wajenge an iconic university itakayokuwa imposing inaweza kuwa hata 10 floor hivi ila design iwe kali
 
Nimeangalia hii video ya huko kenya kwenye zile counties zao chache zenye 'ahueni ya maisha' huku kijijini nyumba hazina umeme halafu kuweka dish ni moja ya achievement kubwa sana kwa perception ya wenyeji, nikacheka sana wakati Tanzania vijijini unakuta nyumba 1 ina dish mpaka 5 za decoders zote 😂😂

Wakenya mna safari ndefu sana kama haya ndio maisha yenu ya vijijini! Nyumba zenyewe zinasikitisha, mashine ya kusaga inatafutwa miles 59 😂

 
TPA 24/7 hapa wamejitahidi



Yeah mzee wanagonga kazi kaa shift kama hospitali , Na kweli Dar Port inaleta mapato sana Kwa Tz , na ndo maana kama serikali inapita humu naomba warudishe mradi wa Gati number 13 ,14 Container terminal, ikiwezekana hara na 15 , watashangaa mapato yata double in 1 year tu Project ikiisha
 
Hakuna haja ya kujenga Hydropower plant nyingne tatu mpya
1.Ruhudji 358 Mw
2. Rumakali 222 MW
3 .Kakono 87 MW (Hii imefika stage ya mwisho iendelee tu )

Hizo hela Bora GOT iweke kwenye miradi ya lami vijijini ili mazao ,na watu wasafiri vizuri , expand Dar port kuongeza cash flow na revenues , ongeza rural electrification . return zake ni kubwa JNHPP itapiga kazi for about 5 to 10 years mpka demand itakapokaribiwa , then wa resume Rumakali na Ruhudji

Timing is very crucial no need for over investing on big power projects after JNHPP, Malagarasi and rusumo , ambazonin 5 years zitakuwa zinazalisha umeme zote na zitaongeza 2216 MW kwenye grid kama hakuna shida ya mvua .


If we want to achive greatness lazima tu focus on key things, na tusifike level za Egypt au ghana nao walifnaya projects bila timing nzuri , wananchi wanalia

Haya ni mawazo yangu tu
Screenshot_20230128-073837_Chrome.jpg
Screenshot_20230128-075252_Chrome.jpg
 
Nimeangalia hii video ya huko kenya kwenye zile counties zao chache zenye 'ahueni ya maisha' huku kijijini nyumba hazina umeme halafu kuweka dish ni moja ya achievement kubwa sana kwa perception ya wenyeji, nikacheka sana wakati Tanzania vijijini unakuta nyumba 1 ina dish mpaka 5 za decoders zote

Wakenya mna safari ndefu sana kama haya ndio maisha yenu ya vijijini! Nyumba zenyewe zinasikitisha, mashine ya kusaga inatafutwa miles 59

Nimeiangalia pia hio video...na pia namfuatilia youtuber I am Marwa kule kijijini kwake

Aisee kenya wanakazi kubwa za kufanya kwenye kuboresha maisha ya wakenya hasa huko vijijin..watu wana hali mbaya sana...hawana umeme..hawana kazi...wakiona mzungu tu na mtu mwenye aliokaa abroad wanamuomba hela...



Hebu Tazama hapa..mpaka mzungu anasema wanamuona benk...


 
Mkuu, hata wakenya wenyewe wamekubali kwamba jeshi lao halina uwezo, ni kelele za kujisifu tu
Bongolala mnawashwa na kdf ila jeshi lenyu pia liko congo kwa muda sasa na hamna kitu mmefanya.. kdf priority yake ilkua peace keeping wakati tunaendelea kunegotiate na m23 kuachilia maeneo.
Juzi Uhuru kapatana na viongozi wa m23 mombasa na kustrike deal m23 kuachilia north kivu
FB_IMG_16748831953692610.jpg

So far maeneo 4 yameachiliwa na m23 na kdf kuchukua jukumu la kudumisha amani.

Mbna tutake kuengage m23 vitani wakati mbinu zingine zinafanya kazi??
Nyinyi mmekua Drc hio miaka yote gains zenyu zimekua zipi??
 
Wana hubris zao tu za kishamba lakini deep down wanaelewa nafasi ya Tanzania ni ipi ukanda huu, on the other note nimegundua viongozi wakubwa wa Kenya wanaifuatilia sana Tanzania sio kwenye entertainment tu!
Sikiza, moja kati ya number one headache ya kila nchi huwa ni jirani yako kwenye mambo ya kiuchumi, kiulinzi, kijamii na hata kisiasa. Ila naona Tanzania kwa Kenya ni extreme, unajua wameshajua nimewajua janja janja yao, na wamejua tunavyoenda hawawezi kutupata and in no time they will kiss our ass.

Hivi unajua tukiwa serious kidogo tu aviation industry ya Kenya inakufa, Mombasa itaishia kubeba mizigo ya Nairobi, Utalii Kenya utayumba vibaya sana na watakufa njaa since hawana food security. So nawaelewa hawa jamaa, huku kujikomba ni katika kuweka mambo sawa, they used to ride on the elephant and now the elephant is riding on them, in this situation if you won’t ask for mercy you must be stupid. But it’s too late, hawa sio wa kuwaregezea, let’s apply our fully potentials.
 
Bongolala mnawashwa na kdf ila jeshi lenyu pia liko congo kwa muda sasa na hamna kitu mmefanya.. kdf priority yake ilkua peace keeping wakati tunaendelea kunegotiate na m23 kuachilia maeneo.
Juzi Uhuru kapatana na viongozi wa m23 mombasa na kustrike deal m23 kuachilia north kivu
View attachment 2497906
So far maeneo 4 yameachiliwa na m23 na kdf kuchukua jukumu la kudumisha amani.

Mbna tutake kuengage m23 vitani wakati mbinu zingine zinafanya kazi??
Nyinyi mmekua Drc hio miaka yote gains zenyu zimekua zipi??

Tanzania TPDF wapo Congo kama walinda amani (sidhani hata kama unaelewa kazi ya walinda amani.
KDF jeshi dhaifu waiba biscuits wameenda Congo kupambana but hadi saa hii ni vichekesho tu!
 
Bongolala mnawashwa na kdf ila jeshi lenyu pia liko congo kwa muda sasa na hamna kitu mmefanya.. kdf priority yake ilkua peace keeping wakati tunaendelea kunegotiate na m23 kuachilia maeneo.
Juzi Uhuru kapatana na viongozi wa m23 mombasa na kustrike deal m23 kuachilia north kivu
View attachment 2497906
So far maeneo 4 yameachiliwa na m23 na kdf kuchukua jukumu la kudumisha amani.

Mbna tutake kuengage m23 vitani wakati mbinu zingine zinafanya kazi??
Nyinyi mmekua Drc hio miaka yote gains zenyu zimekua zipi??
Tumekua DRC miaka yote na ushawahi kusikia wananchi wanataka kuifukuza TPDF? Jeshi lenu limeenda juzi tu tayari wananchi na wacongo kwa ujumla hawaitaki kdf, hiyo ni kwasababu kdf haina maadili just like Kenyans wote mlivyo hamna maadili, jeshi linabaka wadada, linaiba dukani, linaiba shambani, linaiba migodini unadhani wananchi watalitaka hilo jeshi? Nyie Wakenya mko hovyo sn kimaadili, mna njaa mby sn ya kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom