This is madmess at the highest level.
Bora JNHPP iishe tuwaokoe hawa majirani zetu kwa kweli wanapitia kipindi kigumu sana kama nchi binadamu kusaidiana ndio sahihi.
This is madmess at the highest level.
Uko proud kupanda maBUS za china as an AFRICAN!!!Kenya ya Kenyatta. Tanzania ya watanzania
View attachment 2494606View attachment 2494607View attachment 2494608
Kumbuka Mgodi wa makaa ya mawe ni wa chama cha mapinduzi! Sidhani kama kutakuwa na ukusanyaji wa kodi!In 2022 coal imeingiza $221m mpaka 2025 figure itafika $0 5bn
Hujishangai ww unapanda treni ya mchina tena ya magumashi na unashangilia kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uko proud kupanda maBUS za china as an AFRICAN!!!
Kazi IPO.
Hujishangai ww unapanda treni ya mchina tena ya magumashi na unashangilia kabisa![]()


Ila tofauti na Bongo, wabongo wamenunua kwa hela zao
wao ndio wanasherekea mali za mchina kabisa
Angalia hiyo Audacity sasa
😂😂😂 We jamaa ni mtanzania.?Tanzania next president, he will jail CCM members and other will have to run to exile
![]()
They should explain to us what goes on in their heads banaRais wa nchi anakosekana kuonekana hadharani for a whole week hadi foreign media houses start reporting on the same na huku Mibongolaa wanaambiwa na waziri wao mkuu eti yupo busy "anachapa" kazi.
When the same foreign media houses start reporting of his ill-health and a president being treated in a foreign country, they hurl all manner of abuse saying tuna roho mbaya.
After all these denials, they (the same government that has been denying reports) wake up one day and announce that their president is dead! Alafu mibongola wanapigwa na butwaa!!! I mean how?!
Pole ichogal , you can go hug a transformer na picha zake zakuokota kwa net

Wivu wivu tu. Kipindi wanataka mradi upite kwao kulikuwa hakuna athari za kimazingira ila kwa kuwa ni Tanzania wanashinda wanazunguka dunia nzima kupiga domo ili mradi usitekelezwe.Hawa majirani ni wajinga sana wanawezaje kupinga ujenzi wa mradi wa EACOP kwa kisingizio cha mazingira wakati wao wanakaa kwenye mazingira machafu kabisa hapa EA.
Charity brgins at home.
Kwa mipango ya jiji la Dom kama itatekelezwa kama ilivyopangwa nadhani tutawazidi hao AbujaIt's not Fair to compare Abuja With Dodoma,Not fair at all...
Abuja is undoubtedly one of a well developed city in Nigeria,Smart And neat...
Dodoma is still Trying...
ABUJA CITYView attachment 2495420View attachment 2495421View attachment 2495422View attachment 2495423View attachment 2495424View attachment 2495425View attachment 2495426View attachment 2495427View attachment 2495428View attachment 2495429
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
tuusan hii vid inaonyesha Abuja City center 👇. Sioni maajabu yoyote, Niki mbele ya DOM gov city hasa ikishakamilika ..
Uko proud kupanda maBUS za china as an AFRICAN!!!
Kazi IPO.
Yani hata nashangaa wakat mwengine hua najiuliza hawa watu wanamatatizo gani au ni ugumu wa maisha 🤣🤣🤣🤣Kwao hadi skyline nzima ni ya Mchina, barabara ya Mchina, na wapo proud ila Nchi nyingine shidaIla tofauti na Bongo, wabongo wamenunua kwa hela zao
wao ndio wanasherekea mali za mchina kabisa
Angalia hiyo Audacity sasa
![]()
Kama uliona hata picha moja nimepost ya uhuru park unitag🤣🤣🤣 kumbe muliumia sana aloo sikujua hvoPole ichogal , you can go hug a transformer na picha zake zakuokota kwa net![]()
Tutawazidi wao wakiwa wamelala tu wanatusibiriKwa mipango ya jiji la Dom kama itatekelezwa kama ilivyopangwa nadhani tutawazidi hao Abuja


