Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's not Fair to compare Abuja With Dodoma,Not fair at all...
Abuja is undoubtedly one of a well developed city in Nigeria,Smart And neat...
Dodoma is still Trying.
Hivi hata unafahamu kuwa wanaigeria ndio walikuja Tanzania kujifunza idea ya kujenga mji wa serikali Dodoma? Walikuja wakaibeba ramani yetu vile vile na kwenda kujenga kwao, wakati sisi tukibaki tunasua sua kujenga.
 
Tanzania next president, he will jail CCM members and other will have to run to exile
327319966_535866128643432_6663728478333670834_n.jpg
Hahaha, hatuwezi kuongozwa na vichaa, Tanzania sio Kenya
 
Hivi hata unafahamu kuwa wanaigeria ndio walikuja Tanzania kujifunza idea ya kujenga mji wa serikali Dodoma? Walikuja wakaibeba ramani yetu vile vile na kwenda kujenga kwao, wakati sisi tukibaki tunasua sua kujenga.
Abuja imekua designed na Mjapani...
Labda kama walikuja kuchukua tips za hapa na pale tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
All major buildings Nairobi - owned by Chinese
SGR - 100% Owned by Chinese
Express way - 100% owned by Chinese
90% of business in Nairobi - Owned by Somalis
Ans as we speak All projects in Kunya are funded by Chinese,
Kilimo cha Maua na Chai - Muzungu
Real estate Nairobi - Politicians .
Expressway inayotarajiwa kujengwa Kibaha hadi Moro na sisi itakua kama yao...nasubiri nione reaction za watz baada ya kukamilika.
Muwekezaji anaweka hela pale na anachukua hela zake kwenye Gate za kulipia kwa miaka ya kutosha tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
So kutoonekana kwa Magufuli hadharani kwa zaidi ya wiki moja na serikali yenu kukanusha madai ya kuwa alikuwa mgonjwa pia ilikuwa ni rumours za Tindu Lissu?

Kubalini yaishe...serikali yenu iliwadanganya kuhusu afya ya Rais wenu hadi dakika ya mwisho. Don't Tanzanians have the right to know the health and well-being of their leaders, more so the President? Why did your Prime Minister lie to Tanzanians that Magufuli was busy working while in real sense he was fighting for his life in hospital?
Broo if people accept to be fooled each time by government, why won't the government take advantage of it? Watanzania rais akisema jump wanauliza how high? not why?
Kenya it's a totally different story, wakenya walipull limits za Jayden adi a whole president akadelete account yake twitter Even though alikuwa the most followed african president on Twitter
 
All major buildings Nairobi - owned by Chinese
SGR - 100% Owned by Chinese
Express way - 100% owned by Chinese
90% of business in Nairobi - Owned by Somalis
Ans as we speak All projects in Kunya are funded by Chinese,
Kilimo cha Maua na Chai - Muzungu
Real estate Nairobi - Politicians .
Tuweke na picha kabisa 😎
 
Kama uliona hata picha moja nimepost ya uhuru park unitag[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe muliumia sana aloo sikujua hvo
[emoji23][emoji23] you posted many none existent photos, most of those places have been upgraded leta proof from migori ulikuja Nairobi
 
All major buildings Nairobi - owned by Chinese
SGR - 100% Owned by Chinese
Express way - 100% owned by Chinese
90% of business in Nairobi - Owned by Somalis
Ans as we speak All projects in Kunya are funded by Chinese,
Kilimo cha Maua na Chai - Muzungu
Real estate Nairobi - Politicians .
Ebu tuwekee hizo major buildings na owners tuone
 
Expressway inayotarajiwa kujengwa Kibaha hadi Moro na sisi itakua kama yao...nasubiri nione reaction za watz baada ya kukamilika.
Muwekezaji anaweka hela pale na anachukua hela zake kwenye Gate za kulipia kwa miaka ya kutosha tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Tuusan huchokangi kutusiwa kwani[emoji23][emoji23]
 
Expressway inayotarajiwa kujengwa Kibaha hadi Moro na sisi itakua kama yao...nasubiri nione reaction za watz baada ya kukamilika.
Muwekezaji anaweka hela pale na anachukua hela zake kwenye Gate za kulipia kwa miaka ya kutosha tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app

Hakuna anaekataa hilo, hapo anajibiwa huyo mwehu mwenzio aliyekuwa anaponda Tz kuwa na mabus ya kichina.
 
Back
Top Bottom