Tanzania zipo zakutosha kwenu je ??? Kuna jamaa mmoja anazo mbili nyeusi na nyeupe 😁😁😁😁😁
Tuelezane ukweli japo unaumaNimepitia Abuja kwa google earth mzee hakuna mji wowote hapa East Africa wa kukaa sentence moja na Abuja kwenye issue ya real estate development .. jamaa ni Wana balaa duuh [emoji119][emoji119]
Kama ni gari zote ni aina moja plate number ya Bongo siunajua haina mpinzani?
Kujenga iyo government city kama ilivyo kwenye plan sio suala la kuisha mwaka huu..usisahau mbali na office za wizara na taasisi kuja mizigo mingine mingi ya kuweka pale ili pakamilikeBut yo tuusan kitu ambacho u must admit ni kwamba ukubwa wa Dom government City na plan yake, Ile city center ya Abuja si chochote mbele ya DOM bro, kitu watatuzid wala ni barabara nyingi Pana in Abuja+residential buildings .. tusubiri mwaka uishe Nitaku tag
Hata siku moja huwezi kufananisha aliyeanzisha na aliyekopi, aliyeanzisha ameanzisha tu. Ninachowapongeza mlikubali kuiga kzr mkaondokana na zile plate number mlizokuwa mnaandika kwa mkono [emoji113]
Lakini government city mpaka mwaka huu unaisha watakua wamefika mbali sana na nimeskia pia baadhi ya balozi wameanza miradi yao dodoma piaKujenga iyo government city kama ilivyo kwenye plan sio suala la kuisha mwaka huu..usisahau mbali na office za wizara na taasisi kuja mizigo mingine mingi ya kuweka pale ili pakamilike
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Government city sio majengo ya wizara na taasisi pekee...kuna hadi maeneo ya residential, maeneo ya shopping and recreational, kinachofanyika kwa sasa ni Hatua ya awali ya kujenga wizara ili kazi zihamie pale rasmi...izo maeneo mengine yatahitaji watu kuwekeza nk...Lakini government city mpaka mwaka huu unaisha watakua wamefika mbali sana na nimeskia pia baadhi ya balozi wameanza miradi yao dodoma pia
Wacha feelings bongolala 😂😂Sasa kwani kufa ni kitu cha ajabu, wewe umefiwa na watu wangapi mpk ss, je umebadilika nn, umeacha kuwa fukara? Bora Magu alikufa lkn aliacha vitu vitakavyowatesa mpk kiama [emoji116][emoji116]View attachment 2495118View attachment 2495119View attachment 2495121View attachment 2495122View attachment 2495123View attachment 2495124View attachment 2495126View attachment 2495127View attachment 2495128
Faraja yangu ni kwamba hayo yote (ujenzi wa government City) yametokea ndani ya kipindi cha chini ya miaka mitano tu .. Ila ona maajabu 👇Kujenga iyo government city kama ilivyo kwenye plan sio suala la kuisha mwaka huu..usisahau mbali na office za wizara na taasisi kuja mizigo mingine mingi ya kuweka pale ili pakamilike
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Rais wa nchi anakosekana kuonekana hadharani for a whole week hadi foreign media houses start reporting on the same na huku Mibongolaa wanaambiwa na waziri wao mkuu eti yupo busy "anachapa" kazi.Wajamaa walitutusi na kusema tuna royo mbaya, then the guy ends up being dead bana[emoji2297] facts na mibongolala though
Wacha kuongea uongo wewe .. internet haisahau kitu.. rumors kuhusu Magufuli kuwepo kenya kimatibabu zilianzishwa na Tundu lusi huko mitandaoni, kwasababu nyinyi ni wapenda kutembea na upepo media yenu Fulani ikapita na hiyo taarifa, na baadae ikakanusha.. unabisha.?Rais wa nchi anakosekana kuonekana hadharani for a whole week hadi foreign media houses start reporting on the same na huku Mibongolaa wanaambiwa na waziri wao mkuu eti yupo busy "anachapa" kazi.
When the same foreign media houses start reporting of his ill-health and a president being treated in a foreign country, they hurl all manner of abuse saying tuna roho mbaya.
After all these denials, they (the same government that has been denying reports) wake up one day and announce that their president is dead! Alafu mibongola wanapigwa na butwaa!!! I mean how?!
Wewe hata uchemshiwe facts kama soup you will still denyTunasubiri facts kutoka kwa mkundustan
Seriously [emoji2297][emoji23]Hehehe, I love these crazy statistics,
They count same cars going and returning and they do summations ,
The entire Kenya has hardly 2M cars .
Ngojea matusi [emoji23]It's not Fair to compare Abuja With Dodoma,Not fair at all...
Abuja is undoubtedly one of a well developed city in Nigeria,Smart And neat...
Dodoma is still Trying...
ABUJA CITYView attachment 2495420View attachment 2495421View attachment 2495422View attachment 2495423View attachment 2495424View attachment 2495425View attachment 2495426View attachment 2495427View attachment 2495428View attachment 2495429
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hizi ni slums lakini zikifika tz ni dream houses i see what you did there[emoji23]Usiwe na akili ya kitumwa, yn wewe tuusan utakuwa muoga muoga mpk lini, kila mji ukishindanishwa na mji wa nchi yako we unaona huo mji uko vzr kuliko mji wa nchini mwako, akili kama hizi huwa zinafanya watu design yako wawe wanapigwa pesa nyingi kwa kila anachotaka kununua lkn yeye akiuza chake anauza kwa bei ya kutupa mana siku zote anadharau chake kwa mazoea ya kijinga kama hayo yako.
Abuja ni kama Luanda au Nairobi, zote zinafanana tu.
Hii pia ni Abuja, mana wewe umeleta vipicha vya kaeneo kadogo ulinganishe na mji mpya unaopangwa kila angle [emoji116][emoji116]View attachment 2495436View attachment 2495437View attachment 2495438View attachment 2495439View attachment 2495440View attachment 2495441View attachment 2495442View attachment 2495443View attachment 2495445View attachment 2495446View attachment 2495447View attachment 2495448