In 2022 coal imeingiza $221m mpaka 2025 figure itafika $0 5bnBandari ya mtwara inajitahidi
In 2022 coal imeingiza $221m mpaka 2025 figure itafika $0 5bnBandari ya mtwara inajitahidi
Habari imeandikwa vizuri sioni kasoro. Contract ni ya miaka 27 wawe wamerudisha fedha zao na faida kiasi flani. Miaka itapungua kama watatimiza hilo lengo mapemaSasa muwe mnaandika vizuri Habari zenu, though this looks Handsome , How long are the Chinese going to enjoy this ?
Mombasa mwenzake ni Mwanza mzeesingle carriage? Mombasa imewatoa kwa barabara
Ujinga ndio kipaji chenyuPia Tanzania View attachment 2495347
Wew Jamaa Una ule ushamba wa kujiona Bora kumbe nothing....single carriage roads? wacha zako wewe
Unajibu hiyo chizi vizur hivi .? Dar enyewe haliijui.. fikra zake linadhania linaweza ijua DAR kwa picha za humu JF 😂😂😂.. nimeshangaa likisema eti mtu akitokea bagamoyo kwenda kibaha ni lazima apite city center 😂😂😂 si ni ukichaa huo .. kuna njia kubwa sio chini ya Tano .. kwanza city center unaenda kufuata nini.? Unaenda kujumua Kariakoo au.? Wewe Mashashola unadhani unaijua DAR.? 😂😂😂Wew Jamaa Una ule ushamba wa kujiona Bora kumbe nothing....
Sam Nujoma road no Dual carriageway...
Njia ya sinza pia ukitokeza shekilango ni Dual...
Njia ya Mandela road ni Dual...
Njia ya Kawawa ni Dual...
Njia ya Bibi titi na ally Hassan mwinyi ni Dual....
Zote hiz dual unaweza tumia kuelekea airport bila kupita city centre....
Sijuo Dar unaichukuliage...na ndo mikenya mlivyo..hamna hata exposure ya kinachoendelea kwa majirani zenu.....
Habari imeandikwa vizuri sioni kasoro. Contract ni ya miaka 27 wawe wamerudisha fedha zao na faida kiasi flani. Miaka itapungua kama watatimiza hilo lengo mapema
Dar ina dual carriage nyingi na ndefu kuliko mji wowote ule hapa East and Central Africa plus many poor African countries like Kenya, Uganda, Rwanda, Ethiopia and Burundi.Mombasa bypass ni dual-carriage with underpasses, interchanges and flyovers
Usiwe na akili ya kitumwa, yn wewe tuusan utakuwa muoga muoga mpk lini, kila mji ukishindanishwa na mji wa nchi yako we unaona huo mji uko vzr kuliko mji wa nchini mwako, akili kama hizi huwa zinafanya watu design yako wawe wanapigwa pesa nyingi kwa kila anachotaka kununua lkn yeye akiuza chake anauza kwa bei ya kutupa mana siku zote anadharau chake kwa mazoea ya kijinga kama hayo yako.It's not Fair to compare Abuja With Dodoma,Not fair at all...
Abuja is undoubtedly one of a well developed city in Nigeria,Smart And neat...
Dodoma is still Trying...
ABUJA CITYView attachment 2495420View attachment 2495421View attachment 2495422View attachment 2495423View attachment 2495424View attachment 2495425View attachment 2495426View attachment 2495427View attachment 2495428View attachment 2495429
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Shida yako ni unapenda sana kutumia nguvu na sio akiliUsiwe na akili ya kitumwa, yn wewe tuusan utakuwa muoga muoga mpk lini, kila mji ukishindanishwa na mji wa nchi yako we unaona huo mji uko vzr kuliko mji wa nchini mwako, akili kama hizi huwa zinafanya watu design yako wawe wanapigwa pesa nyingi kwa kila anachotaka kununua lkn yeye akiuza chake anauza kwa bei ya kutupa mana siku zote anadharau chake kwa mazoea ya kijinga kama hayo yako.
Abuja ni kama Luanda au Nairobi, zote zinafanana tu.
Hii pia ni Abuja, mana wewe umeleta vipicha vya kaeneo kadogo ulinganishe na mji mpya unaopangwa kila angle [emoji116][emoji116]View attachment 2495436View attachment 2495437View attachment 2495438View attachment 2495439View attachment 2495440View attachment 2495441View attachment 2495442View attachment 2495443View attachment 2495445View attachment 2495446View attachment 2495447View attachment 2495448
Sasa tulinganishe na new capital gani.? Kwasababu nimepitia gaborone ni aibu kuitaja kwenye sentence moja na DODOMA .. au labda DOM awe mdogo wa Abuja lakini sio hizo capital zingine mpya zilizojengwa hiv karibuni in sub Saharan AfricaIt's not Fair to compare Abuja With Dodoma,Not fair at all...
Abuja is undoubtedly one of a well developed city in Nigeria,Smart And neat...
Dodoma is still Trying...
ABUJA CITYView attachment 2495420View attachment 2495421View attachment 2495422View attachment 2495423View attachment 2495424View attachment 2495425View attachment 2495426View attachment 2495427View attachment 2495428View attachment 2495429
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nimepitia Abuja kwa google earth mzee hakuna mji wowote hapa East Africa wa kukaa sentence moja na Abuja kwenye issue ya real estate development .. jamaa ni Wana balaa duuh 🙌🙌Shida yako ni unapenda sana kutumia nguvu na sio akili
Sasa umefika hadi hatua ya kumpangia mtu cha kusema?
Kwahyo miji ya wengine ndio ina slums ya nyumbani haina? Izo low income community Dodoma hazipo? Ukweli utabaki kua ukweli huwezi fananisha Abuja na Dodoma kwa sasa...Abuja imeshapiga Hatua .
Wakati serikali yetu inaweka mipango ya kuhamia Dodoma miaka hiyo Miaka ya sada ndio wameanza kua serious kwahyo ndio unataka kufananisha nguvu ya miaka 7 na nguvu ya miaka 30?
Kua serious kijana
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Dar has more dual roads than Nairobi and Mombasa combinedWew Jamaa Una ule ushamba wa kujiona Bora kumbe nothing....
Sam Nujoma road no Dual carriageway...
Njia ya sinza pia ukitokeza shekilango ni Dual...
Njia ya Mandela road ni Dual...
Njia ya Kawawa ni Dual...
Njia ya Bibi titi na ally Hassan mwinyi ni Dual....
Zote hiz dual unaweza tumia kuelekea airport bila kupita city centre....
Sijuo Dar unaichukuliage...na ndo mikenya mlivyo..hamna hata exposure ya kinachoendelea kwa majirani zenu.....