Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukinionesha gari tano zimeongozana kwenye hyo expressway ya mchina naondoka jamiiforums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na usinioneshe picha za uzinduzi tafadhali, mana gari zilipita bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haya wakundustan ni majinga kweli eti yanaongopewa road ya mchina imepitisha gari milioni 7 na wakati hayaoni gari zikipita juu, yamewekewa na video ya uzinduzi gari zilipita bure na yenyewe yanakubali. Hapo yameongopewa lkn muda wa miaka 30 ukifika mchina atakuambia kala loss so ata claim kuongezewa miaka mana wachina wanawachezea hawa jamaa kama wake zao vilee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwenzako huyo pia aliomba ushahidi. Bahat mbaya hio comment nilifuta sababu hata mwenyewe sijui😎😄

Ukiangalia hio tar ya comment, ilikuwa ni tar 11 March 2021, na Magu alifariki tar 17 March 2021. Kipindi hiko ilikuwa haijulikan yuko wap lkn watu wachache (ndugu/familia/vitengo/TISS/viongozi wakubwa wa nchi) ndo walikuwa wanajua yuko wapi
(niongeze chumvi kujipendelea. By that time, I was among those lucky people who exactly knew where he was😄😎)
vvv.png
 
Nikitoka Bagamoyo au kibaha kwenda airport lazima nipitie town kwa msongamano. Mombasa ishasolve hayo mashida kwa bypass
Tuna ring road ukitoka bagamoyo unapita tegeta-wazo-mbezi-kinyerezi-majumba6 - Airport Huna haja ya kupita town...
Ukitoka Kibaha unapita njia iyo iyo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Ukinionesha gari tano zimeongozana kwenye hyo expressway ya mchina naondoka jamiiforums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hamna haja sasa uondoke kwanini kaa kutulia[emoji23][emoji23][emoji23] upewe facts
 
Haya wakundustan ni majinga kweli eti yanaongopewa road ya mchina imepitisha gari milioni 7 na wakati hayaoni gari zikipita juu, yamewekewa na video ya uzinduzi gari zilipita bure na yenyewe yanakubali. Hapo yameongopewa lkn muda wa miaka 30 ukifika mchina atakuambia kala loss so ata claim kuongezewa miaka mana wachina wanawachezea hawa jamaa kama wake zao vilee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwaivo atakula loss kwa gari kuwa nyingi kuliko matarajio? Hamna mtu mjinga hili forum kama wewe, kwaivo unatarajia kuona magari 7m???
 
Kwaivo atakula loss kwa gari kuwa nyingi kuliko matarajio? Hamna mtu mjinga hili forum kama wewe, kwaivo unatarajia kuona magari 7m???
Kalilie kwa choo [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hehehe, I love these crazy statistics,
They count same cars going and returning and they do summations ,
The entire Kenya has hardly 2M cars .
The statistic is about the number of times vehicles have used the road. So if a particular car uses the expressway let's say 5 times in a single day, it cannot be counted as one car because you're charged Everytime you enter and exits the expressway
 
Unauhakika na unachokisema?kweli nyie hamjui Dar vzr

Ukitoka bagamoyo huna haja ya kwenda city centre labda kama unataka Tu kuzurura....

Kina njia zifuatazo....

Unaweza pitia njia ya madale...ukotokeza mbezi Magufuli bus terminal....ukapita kifuru.kinyerezi malamba mawili Airport...

Unaweza pitia Goba Road..ukatokeza mbezi mwisho...kifuru... malamba mawili Airport..

Unaweza pitia Sam Nujoma Road..ukapita Ubungo interchange...Mandela road then Mfugale flyover to Airport...Barabara hii ni Dual ..

Unaweza pia Kawawa road..via magomeni then chang'ombs flyover to Airport....

Unaweza pitia bagamoyo...Bibi titi then Nyerere road to Airport....
single carriage roads? wacha zako wewe
 
The statistic is about the number of times vehicles have used the road. So if a particular car uses the expressway let's say 5 times in a single day, it cannot be counted as one car because you're charged Everytime you enter and exits the expressway

Sasa muwe mnaandika vizuri Habari zenu, though this looks Handsome , How long are the Chinese going to enjoy this ?
 
Back
Top Bottom