Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikitoka Bagamoyo au kibaha kwenda airport lazima nipitie town kwa msongamano. Mombasa ishasolve hayo mashida kwa bypass
Unauhakika na unachokisema?kweli nyie hamjui Dar vzr

Ukitoka bagamoyo huna haja ya kwenda city centre labda kama unataka Tu kuzurura....

Kina njia zifuatazo....

Unaweza pitia njia ya madale...ukotokeza mbezi Magufuli bus terminal....ukapita kifuru.kinyerezi malamba mawili Airport...

Unaweza pitia Goba Road..ukatokeza mbezi mwisho...kifuru... malamba mawili Airport..

Unaweza pitia Sam Nujoma Road..ukapita Ubungo interchange...Mandela road then Mfugale flyover to Airport...Barabara hii ni Dual ..

Unaweza pia Kawawa road..via magomeni then chang'ombs flyover to Airport....

Unaweza pitia bagamoyo...Bibi titi then Nyerere road to Airport....
 
Na pia unaweza ukapita goba ukatokezea survey ubungo mandela pia hadi city centre au ukapira boko ukatokezea africana mbezi kawe mikocheni mpaka City centre
 
Sijamtaja mtu Mimi🤣🤣

IMG_20230125_134123.jpg
 
Hebu tuambie hawa watu milioni 7 familia yako ni milioni ngapi hapo[emoji23].Usilie kuona wakenya wanapesa inajulikana hio
Ukinionesha gari tano zimeongozana kwenye hyo expressway ya mchina naondoka jamiiforums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom