NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
Uswahilini.com yani ni shidaEti vijumba vimeshonana??
View attachment 2491789
Bongolala, Kama hapo juu majumba zimeshonana, what will we call these places below? View attachment 2491776View attachment 2491777View attachment 2491778View attachment 2491780View attachment 2491782View attachment 2491783View attachment 2491784View attachment 2491785View attachment 2491786
Yani unalinganisha mtaa imepangika hivyo hadi kuna barabara ya lami na maeneo ya kuegesha magari na hizo takataka zenu zimebanana hata magari kupita ni taabu!
Inatakiwa kila kitu kiwe kwenye utaratibu ndio tungeweza kujua wanatumia kiasi gani,unataka kuniambia hata wakiandaa questionnaire ni rahisi kujua kwa kuangalia mlo wa mtu kwa siku na Mali anazozimiliki...nyumba anayoishi nkKweli mkuu, Mfano watu wa Vijijini ana shamba anapata chakula chake, ana Ng’ombe anakunywa maziwa fresh, ana kuku ana mayai ambayo hata maeneo mengine anaenda kubadilsha na kitu ambacho hana
, ( niliona mtu kabadilisha ngo’mbe wake na pikipiki, watu kama hawa utapata wapi data zao za kwenda kununua vitu supermarket . Na utawaclassfy vipi hawa watu wanaishi chini ya Usd 1 wakati vitu anavyokula ni Organic we wa mjini huwezi hata afford robo yake Supermarket
Hii economic classification lazima iwe na model inayofaa makundi mbali mbali na inayotambua category mbali mbali za shughuli za watu za Kiuchumi.
Haina mbambamba🤣🤣🤣Post ya leo leo mkuu.
Acha masihara bana broSasa hivi tumepanga kuanza kuwauzia ugali badala ya mahindi. Kuna kiwanda cha kutengeneza ugali kinajengwa kibaha.






Watu wa kujikweza hao tunawajua.
Mkuu. Mimi nimeshaingia kwenye kilimo rasmi,sasa hivi huwezi kuniambia kazi za kajiriwa, sasa hivi mjini nakuja kuosha macho and then narudi zangu shamba ili muda wa kuja kustaafu (60yrs)kwa mtu aliyeajiriwa niwe nimeshatengamaa kiuchumi.Kilimo na ufugaji ndio kitu pekee kinachoweza kumtoa masikini kwenye umaskini,tuwekeze zaidi humo..Sioni tukichomoka kwenye umaskini bila kukomaa na shamba,tukumbuke watz wengi hawako katika ajira Rasmi
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kama Dar inawatoa kamasi wasubiri Dodoma ndio watakufa kabisa na wivu.Nimegundua wakenya wanaiogopa sana Dar es salaam kuliko kitu kingine. Hapa ni Makumbusho
![]()
![]()
Kwa muda mrefu walikuwa wanadhani Dar ya leo ni ile ile ya enzi za Mwalimu aka mchonga kumbe mambo yamebadilika sana.Kama Dar inawatoa kamasi wasubiri Dodoma ndio watakufa kabisa na wivu.
Weka estate kwa estate mzee, vi estate vyenu vimebanana sn alafu jua kali type thus y estate za Dar zmeiacha mbali mno estate zenu na za EA kwa ujumla kama tutaangalia thamani yn value.Eti vijumba vimeshonana??
View attachment 2491789
Bongolala, Kama hapo juu majumba zimeshonana, what will we call these places below? View attachment 2491776View attachment 2491777View attachment 2491778View attachment 2491780View attachment 2491782View attachment 2491783View attachment 2491784View attachment 2491785View attachment 2491786
Yani unalinganisha mtaa imepangika hivyo hadi kuna barabara ya lami na maeneo ya kuegesha magari na hizo takataka zenu zimebanana hata magari kupita ni taabu!
Hii nchi imelaaniwa na nani🤣🤣🤣
Kama Dar inawatoa kamasi wasubiri Dodoma ndio watakufa kabisa na wivu.