Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The fact kenya na mashida zetu zote hatuendi kuomba omba kwenye nchi za wenyewe kama nyinyi ni evidence enough.. utakuwaje umejitosheleza lakini unapitia shida nyingi kuenda kuomba omba?
Msikilizeni huyu kajizima data anajifanya hawajui wafalme wa umaskini na nchi omba omba ya dunia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bajeti ya Kenya ni kama bajeti ya harusi za Kibongo, unakuta wanakamati wanaweka bajeti ya harusi ya 30M alafu mwisho wa siku wanakusanya 9M alafu wanaanza kusmash luxuries, utasikia jamani hapa cha msingi bora kijana wetu aoe……[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji1787]
 
Tanzania nimeishi, ni ile ile tu, kazi yenu upigaji kwenye huo umaskini unapiga na kuacha watu mifupa

screenshot_20221205-141026_whatsapp-jpg.2436624
Kwahiyo kumbe hiyo hapo juu ndio train yenu? 🤔😅 kwani Budaa we uko Kenya sehemu gani? Usikute hata hujui train ni nini?…….😂😂
 
Unga ni chakula, na kwa kainchi kadogo ambako zaidi ya nusu yake ni kame tupu na kanakumbwa na kiangazi hata kwenye maeneo machache yenye rotuba, unga lazima uwe mojawapo wa agenda. Jiongeze kidogo ushirikishe ubongo utaelewa.
Hata hivyo licha ya changamoto zote hizi, bado tunawazidi kiuchumi mara mbili.
Nakushauri endelea kushikilia hapa hapa kuhusu GDP ya mchongo, huna jipya la kujilinganisha na Tz.
 
Hiyo hapo juu ni train ya sgr na hiyo hapo chini ni train ya MGR mbona unachanganya maandazi na vitumbua?
Ndio shida ya ukosefu wa chakula unakufanya ushindwe kushirikisha ubongo, anakuambia juu ni treni ya SGR Kenya, tangu lini SGR Kenya ikawa na treni nzuri, alafu chini ni treni ya SGR Tanzania, tangu lini SGR Tanzania ikawa ya diesel [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania nimeishi, ni ile ile tu, kazi yenu upigaji kwenye huo umaskini unapiga na kuacha watu mifupa

screenshot_20221205-141026_whatsapp-jpg.2436624
Kwahiyo SGR Kenya mshai electrify alafu sisi yetu tumeondoa electrification [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unga ni chakula, na kwa kainchi kadogo ambako zaidi ya nusu yake ni kame tupu na kanakumbwa na kiangazi hata kwenye maeneo machache yenye rotuba, unga lazima uwe mojawapo wa agenda. Jiongeze kidogo ushirikishe ubongo utaelewa.
Hata hivyo licha ya changamoto zote hizi, bado tunawazidi kiuchumi mara mbili.
Haijafika 2× Jaribu kuongea mambo halisi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Ni sahihi kilimo ndio dira ya taifa na penyewe tupo vizuri, kilimo cha kisasa kimeongezeka (Mechanized agriculture) lakini pia value addition kwa mazao tunayopata inakuja juu sana, banks kubwa zote Tanzania zina mikopo maalumu kwaajili ya agribusiness projects yenye riba ndogo kuliko mikopo yote na ni ya muda mrefu!

Huku ndio kutatutoa bila mizengwe

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo kumbe hiyo hapo juu ndio train yenu? 🤔😅 kwani Budaa we uko Kenya sehemu gani? Usikute hata hujui train ni nini?…….😂😂

Mlipigwa sana, tatizo lenu watu wa ujamaa huwa hamhoji chochote mpo mpo tu mliwe...
 
Nakushauri endelea ku cherry pick picha za mitandaoni hivyo hivyo ila ukipiga mwenyewe kitu kinakaa hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2491253View attachment 2491254View attachment 2491255View attachment 2491256View attachment 2491257View attachment 2491258View attachment 2491260View attachment 2491262View attachment 2491263View attachment 2491264
Sasa maeneo haya mawili unawezalinganisha na zile uswazi zenu?
tapatalk_-673807102_703x460 (1).jpg
tapatalk_-901343475_711x492 (1).jpg


VS
images - 2023-01-17T223906.597.jpeg
images - 2023-01-05T142613.865.jpeg
images - 2022-07-14T094944.818.jpeg
1653910572837~2.jpg
images - 2023-01-17T223635.478.jpeg


Hata kwa kuangalia tu, ni wapi kuna unafuu?
 
Back
Top Bottom