Nichojifunza kwa wakenya ni ukosefu mkubwa wa elimu na majisifu ya kipumbavu yaani wanateketea kama mshumaa, ndio maana wanasiasa wao wanawadanganya kiurahisi mno
Fikiria mtu anaona kabisa wananchi wenzake wanakufa njaa, ajira hakuna, bei za bidhaa zimepanda, maisha hayaeleweki lakini anafurahia number za kwenye makaratasi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtanzania mwenye nyumba na gari na investment yake ni rahisi sana kudoubt statistics zinazopaisha uchumi wa Tanzania kuliko mkenya alielala njaa jana na anaishi mathare kudoubt statistics zinazopaisha hali ya maisha ya mkenya wa kawaida [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa viumbe sijui wameumbwaje [emoji1787]