Mnachapaje kazi na njaa?
Mmekuwa capitalist state tangu 1960s mkiwa na access ya mikopo mikubwa toka banks za west, hakuna lolote la maana mlilofanya. Mlitakiwa kwa sasa muwe mshajenga SGR kukonect na UG, RW, BND, DRC, ETH, SSD. Pia militakiwa muwe na International airport zaidi ya 4 active by now na Mombasa port ilitakiwa iwe na ukubwa wa at least Durban port.
Mlitakiwa mmeshaushika huu ukanda kila angle kwa mbali sana. Leo hii mnahangaika na mahindi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyie ndio wazembe na wapumbavu wakubwa.