tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Nilimuuliza kuna siku akasema hapana.Wamefanana miandiko halafu nadhani wote ni Dom.
Ila ngoja [mention]chongchung [/mention] athibitishe mwenyewe.
Dah sasa kwa hii msg umefanya nikose raha kabisa mana me nkawa najua ni wewe mkuu.Wakuu tuweni serious hivi mtu akiitwa juu mawinguni tunajuaje, mwamba alikua active mno lakini over sudden tu hayupo hata kucheckin mara moja moja, hii imekaaje sababu alikua active mno
JF kwenye ku remember password bhana.. Ahh
Hamna sio mimi wadau, huyo mwamba huwa namkubali sana sijui kapotelea wapi! Mentor wangu huyo kwenye kuwakata Wakunya ngebe![]()
Unaambiwa mabus mazuri 'wanatutengenezea sisi' lkn mabus mabaya kama haya na hilo kwenye tweet ndo yanabaki kenya kufanya kazi 😀
Yan ni sawa na fundi anakutengezea sofa zuri au nyumba nzuri lkn kwake hana sofa wala hana nyumba ya maana
View attachment 2490393
Kuweni original....
Karibu
Iyo ilianzia Tz ukitaka ushahidi sema upewe. Tz haiwezi iga nchi ndogo kama Rwanda na Kenya.Kuweni original....
We all know visit Rwanda, Magical Kenya... Trademark muhimu
So neno visit unalilalamikia!? Stupid kundustanKuweni original....
We all know visit Rwanda, Magical Kenya... Trademark muhimu
Kuweni original....
We all know visit Rwanda, Magical Kenya... Trademark muhimu
Hawa walikuwa wanadhani Tz ni level yao, yn JF imewatoa kizani mno, waishukuru sn JF lasivyo wangekufa kihoro mana media zao zimewaongopea mnooTanzania ilianza kutumia hiyo “Visit Tanzania” tangu 2011 kwenye nguo na uwanja wa Sunderland Afc.
Ficha ujinga wako.








Hawa walikuwa wanadhani Tz ni level yao, yn JF imewatoa kizani mno, waishukuru sn JF lasivyo wangekufa kihoro mana media zao zimewaongopea mnoo![]()











First time kwenda huko 2017 nlipotea ndani sipati exit.. ilibidi niulize security njia ya kutoka nje, parking kutafuta gari lako especially weekend ni kibarua, litasumbua kutrace especially likifanana na magari mengi type yake pale