The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Utajiri unaonekana ground sio kwenye karatasi, tajiri na huwezi hata kufinance road ya 5km kwa pesa za ndani, tajiri huwezi hata ku electrify reli uliyojengewa kwa mkopo na hujatoa hata 100, tajiri na huwezi kujenga hata sm 1 ya BRT, tajiri na huwezi hata kulipa mishahara wafanyakazi wa umma, tajiri na hujitoshelezi kwa chakula, tajiri alafu una CBD chafu imejaa matakataka, tajiri na umejaza ma slums every corner of the country, tajiri gn wewe labda tajiri wa MaviSiku mkitukaribia kiuchumi unitag, ila kwa sasa na hata miaka hamsini ijayo pole yenu.








Nb. Hayo yote niliyoyataja kwenu hakuna na hamtakaa mje kuwa nayo kwa miaka 100 ijayo, wewe piga kelele ya GDP ya karatasi a.k.a fake GDP, cc tunazidi kuwaachia vumbi na the real GDP ya $150b.
